Eiyer
JF-Expert Member
- Apr 17, 2011
- 28,258
- 20,707
Imezoeleka kuwa,mwanamke mwenye maumbile ya aina fulani,kama vile makalio makubwa au miguu "kama chupa ya bia" anapopita mbele ya wanaume,wanamtamani.
"
Lakini mwanamke huyo huyo unaweza kukuta ana ndugu wa kiume nyumbani wanapomuangalia wanamuona kama mwanaume mwenzao tu.Hawasisimkwi!
"
Lakini ndugu hao hao wakitoka nyumbani kwao halafu wakakutana na mwanamke kama huyo huyo,wanachanganyikiwa.
"
Kwanini?
"
Unaweza kutaka kuniambia kuwa,sababu ni dada ndo maana humtamani.Lakini inawezekanaje hii?
"
Ukweli ni kuwa,hili ni jambo la kimaamuzi zaidi,umeambiwa hivyo na ukaamini na ukaukataza mwili wako kutamani.Neno dada au ndugu ni kivuli tu,ndo maana walioamua kutokiona kivuli hicho wameweza kufanya ngono na dada zao.
"
Kuna uwezekano mkubwa tukiutumia ufaham huu tukaweza kudumisha uaminifu kwenye ndoa zetu.
"
Uwaone wanawake wote tofauti na mke wako kuwa dada zako!
"
Na uamue hivyo,itaweza kusaidia kuzuia mihemko ya hovyo barabarani!