Waombaji/wanamaombi tuombee nchi yetu

Vita vyetu si cya damu na nyama..

2 Nya 20:15 SUV
kwani vita si yenu bali ni ya Mungu.

Rum 12:19
Wapenzi, msijilipize kisasi, bali ipisheni ghadhabu ya Mungu; maana imeandikwa, Kisasi ni juu yangu mimi; mimi nitalipa, anena Bwana.

Ni KWELI vita si vya vyetu sisi bali ni vya Mungu mwenyewe na Tena vita vyenyewe si juu ya mwili na damu bali ni juu ya waflme WA Giza,majeshi ya mapepo wabaya, my akuu WA anga,waflme WA giza,wenye mamlaka WA Giza,ambayo vita hivyo BWANA ATATUPIGANIA NASI TUTANYAMAZA KIMYA,na Tena BWANA ATALIPA KISASI ,mana Hukumu ya Mungu ni ya HAKI,HUKUMU NA KISASI NI JUU YA BWANA MUNGU WA MAJESHI.
 
Haina maana hyo but
 
Maombi makuu tunaomba kwa Mungu wa haki ni damu isiyo na hatia iliyomwagika Mungu alipe upesi.Vinginevyo sisi inatupasa kulipia damu hizo.Mungu ni mtakatifu sana kabla ya Kumkaribia ni lazima pasiwepo na sauti za damu za watu waliodhulumiwa maisha yao bila sababu.
 
Umeona Mungu amesettle na shetani kufanya Amani?
 
Amini Usiamini, Hayo uliyoyaorodhesha ni Matokeo ya mabaya yaliyopandwa na waovu, Unajua kwa nini vitabu vya Dini Bwana ni Mtu wa vita? Kuandikwa ni Mfalme wa amani tu ni jambo moja vipi kuhusu vita?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…