Waoaji hakuna siku hizi

Waoaji hakuna siku hizi

Mashosho

Member
Joined
Jun 8, 2013
Posts
35
Reaction score
13
wadau leo nimepata jipya eti boy friend wa binti amedai hawezi kufunga ndoa kwasababu binti hana ndugu wenye uwezo wa kumfanyia send off. Hivi huyu mtu ni muoaji kweli? Mimi sidhani.
 
Huyo bado hajakua anaish maisha ya kibongo movie. Kwan sendoff ina umuhm gan ktk ndoa?
 
Kwa hiyo ndio sababu iliyokufanya ukaamua ko-conclude kuwa waoaji hakuna siku hizi??
 
huyo bado ni under 18, au atakuwa na unsound mind. si bure
 
Back
Top Bottom