Wanzibari igeni Bara kuondosha makelele Mjini (noise nuisance)

Wanzibari igeni Bara kuondosha makelele Mjini (noise nuisance)

Ambiente Guru

JF-Expert Member
Joined
May 21, 2012
Posts
2,623
Reaction score
1,096
Zanzibar is a tourist destination, however the level of noise is intolerable.
Nimelala hapo Maisara kesho yake nikafungisha virago. Makelele ya miziki toka hizo kumbi za CheCheMe Maisara, Kilimani, Gofu na Gynkana Club ni shida, tena washindana. Pili milio ya bodaboda usiku kucha ni kero hasaaa. Mtaua utalii. Njooni ng'ambo huku tuwatie skuli.
 
Nimelala hapo Kilimani mbona hakukuwa na kelele na nikaona zenji kumetulia mno
 
Back
Top Bottom