Wanywaji wa Bia na wavuta Sigara tunazidi Kuonewa kila Mwaka !!

Tape measure

JF-Expert Member
Nov 26, 2015
1,980
3,577
Hivi ni kwa nini?
Hakuna njia ingine?
Walevi/wanywaji/wavutaji sigara ndogo na kubwa ndio matajiri?
Huwa wanywaji tunaumizwa sana na serikali yetu tukufu kuongeza bei ya vinywaji moto na sigara kila mwaka wa fedhaa. Serikali haitutendei haki wanywaji na wavutaji. Nakumbuka mwaka 2000 bia ilikua Tsh 1000 na soda 150 Pepsi 200 bonite. Mwaka 2010 bia 1800 soda 500 Pepsi na bonite. Mwaka 2012 bia 2000 Soda 600.
Mwaka 2014 Bia 2300 soda 600. Mwaka Sigara Sport ilikua Tsh 20, sigara Nyota Tsh 10 leo hii Sigara Sport n Tsh 150-200.. Serikali mtutazame sis wanywaji wa pombe kwani na sis tunayo majukumu mengine kama walionayo wasiotumia pombe na kuvuta sigara.
 
Huku nilipo Serengeti ni 2500. Gunness 3500 na Heineken Tsh 4000. Uzuri wanywaji tuna msimamo hatukomi kunywa
 
Wavuta fegi wanachoniachaga hoi ni kwamba kila mvutaji ana ndoto za kuacha kuvuta, ila lini haijulikani!
 
Back
Top Bottom