Ziroseventytwo
Platinum Member
- Mar 27, 2011
- 9,426
- 17,893
Ni utoto tu ulikua ukitusumbua hizi story zilipedwaVp mkuu hii issue ilikuwa ni kweli?
Nakusalimu aggyni utoto tu uoga na kutopata elimu ya kutosha kwa kile kilichokuwa kinafanyika.pia kufanya kitu bila idhini ya mtu kama kumvuta damu its so frightening.!
ukweli ni kwamba miaka ile kulitokea upungufu wa damu hasabank za damu mahosptalini.so wakaona njia ni kukusanya damu kutoka kwa watu mbalimbali lakini hawakutoa elimu ya kutosha kwa jamii .halafu imagine ghafla unaingia shule unamshika kwa nguvu mtoto wa mtu unamdunga sindano kinguvu unavuta damu ili ukaipime thn uanze kumtoa damu bila idhini yake .si kitu chema.mfanye mtu mzima sio mtoto.
enzi nipo st kayumba walimfos mtoto wa watu wakamvuta damu kumaliza kalegea hajitambui kumbe ana upungufu wa damu.kuanzia siku hiyo tukiwaona nduki!
kuna siku tulikua vipindi shule nzima kusikia king'ora shule nzima tulitimua..nakumbuka nliishia chumbani bila hata hodi kesho nkagoma kwenda shule.
salam kwako pia mkuuNakusalimu aggy
[emoji120][emoji120]salam kwako pia mkuu
uchunaji ngozi ulikuwepo mkoa wa mbeya.niliwahi ona documentary yake liveHakuna ukweli wowote ni uzushi tu,pia ikazushwa eti kuna wachuna ngozi!
Ikaja ukiwa na kipara unakatwa kichwa! Mara ukiwa na mwanya unakatwa kichwa!
Ikaja ukiwa na alama ya M kiganjani unakatwa mkono!
Hizi ni hadithi za kufikirika tu za utotoni.
Hii naisi ilikua Kilimanjaro na mm nakumbuka jina la Tarimo yaan nlikua nkisikia ilo jina nataman Ardhi ipasuke!!! Afu nlikua mdogo hata chupa ya soda ya damu sidhani kama ingejaaa .sasa hata sijui nlikua nakimbia nn wakat hao wanyonyaji wasipoteza muda wao kuangaika na nusu chupa ya soda ya damuMiaka ya 1980 na 1990 kwenda 2000 kulikuwa na watu wanadaiwa kuwa ni wanyonya damu. Magari ya msalaba mwekundu tulikuwa kukikutana nayo lazima tutoke mbio kwa hofu ya kunyonywa damu.
Binafsi mimi kuna watu pale kijijijni kwetu mkoani kilimanjaro walikuwa wakihusishwa na unyonyaji damu. Mmoja nadiriki kumtaja alikuwa akiitwa Michael Ibrahim wa kijiji cha Longuo. Huyu bwana alikuwa akiogopwa na kila mtu.
Watoto wadogo wakimwona walikuwa lazima wakimbie. Pia baadhi ya wakina mama nao pia walikuwa wakimwogopa. Kuna taarifa za wakati huo kukutwa kwa miili ya watu wakiwa wamekufa na huku miili yao ikiwa imegongwa mihuri kuonyesha kuwa yule marehemu kanyonywa damu. Na wengi wa watu ambao walikuwa akisemwa kuwa ni wanyonya damu walikuwa ni watu wenye kipato. Hivyo kipato chao kuhusishwa na unyonyaji wa damu.
Kilichonifanya nilete huu uzi hapa ni kutaka kujua hii kadhia ni kweli ilikuwepo? Na kama ni kweli hiyo damu walikuwa wanapeleka wapi?
Sababu mimi nachojua ni kwamba damu ni kwa ajili ya tiba yaani kwa ajili ya kumwongezea mtu aliyepungukiwa na damu.
Sasa inakuwaje utoe uhai wa mtu kwa ajili ya kuokoa uhai wa mtu?
Avatar yako yaukweliMiaka ya 1980 na 1990 kwenda 2000 kulikuwa na watu wanadaiwa kuwa ni wanyonya damu. Magari ya msalaba mwekundu tulikuwa kukikutana nayo lazima tutoke mbio kwa hofu ya kunyonywa damu.
Binafsi mimi kuna watu pale kijijijni kwetu mkoani kilimanjaro walikuwa wakihusishwa na unyonyaji damu. Mmoja nadiriki kumtaja alikuwa akiitwa Michael Ibrahim wa kijiji cha Longuo. Huyu bwana alikuwa akiogopwa na kila mtu.
Watoto wadogo wakimwona walikuwa lazima wakimbie. Pia baadhi ya wakina mama nao pia walikuwa wakimwogopa. Kuna taarifa za wakati huo kukutwa kwa miili ya watu wakiwa wamekufa na huku miili yao ikiwa imegongwa mihuri kuonyesha kuwa yule marehemu kanyonywa damu. Na wengi wa watu ambao walikuwa akisemwa kuwa ni wanyonya damu walikuwa ni watu wenye kipato. Hivyo kipato chao kuhusishwa na unyonyaji wa damu.
Kilichonifanya nilete huu uzi hapa ni kutaka kujua hii kadhia ni kweli ilikuwepo? Na kama ni kweli hiyo damu walikuwa wanapeleka wapi?
Sababu mimi nachojua ni kwamba damu ni kwa ajili ya tiba yaani kwa ajili ya kumwongezea mtu aliyepungukiwa na damu.
Sasa inakuwaje utoe uhai wa mtu kwa ajili ya kuokoa uhai wa mtu?
Siku hizi wewe ni adimu kama makinikia bandarinisalam kwako pia mkuu
Mlikuwa mnaipeleka wapi?Niliwahi kunyonya mtu damu kipindi tupo Uganda, Nitakuja kuandika hapa Story.