Econometrician
JF-Expert Member
- Oct 25, 2013
- 17,802
- 33,437
Sema watu 10 pekee ndo walio jitokeza kumpinga.
You are lacking exposure bro.
Kusema ukweli mimi ni mpitaji tu hapa Rwanda lakini hupita mara mbili kila baada ya miezi 3 na hulala hapa ili kuamkia safari yangu yakuja huku niliko...... ngoja niseme ukweli wa yale nimeona hapa Kigali.. huko vijini sijui
1. Sheria inafuatwa kweli kweli, hasa kwa askari wote na zaidi wa barabarani
2. Raia wanatii amri bila ya shurti
3. Usalama uko bien sana, waweza tembea hata usiku huku uki browse tablet yako, au martphone yako
4. kuuliza ni bure, ukiwa na shida uliza yeyote atakusaidia ,
5. boda boda ziko registered, helmet na vikoti vina namba hizo,, kubeba abiria bila helment ni shida kubwaaa sana
6. Mahotelini wanajua sana customer care.... wako very clear, na kwa sauti tulivu hasa akina dada,
7. Sina takwimu lakini idadi ya akina dada police ni wengi
8. Usafi wa mji ndio usiseme,, labda huko vijini, ila kutoka Kigali mpaka Gisenyi mpka wa Rwanda na DRC barabara inafagiliwa na mwendo wa masaa 3 kwa gari ndogo... sihadithiwi napita hapa.
9. Na si kweli kwamba kuna tatizo baina ya raia wa rwanda na Tanzania,, mimi hapa nikiongea tu wananitambua kuwa ni MTZ na sijawahi pata shida kabisa..... hayo ya wakubwa wala sina haja kuyajua wala kuyangilia nimezungumza kama raia wa kawaida kabisa
Hayo yote ni kweli. Sidhani kama kuna mtu anabisha hayo. Lakini je tuambie maji yapo au hayapo kwa miezi kama inavyoandikwa na GAZETI LA SERIKALI YA RWANDA?
hakuna nchi Africa yaweza pita kifua mbele kwa hili maji ni tatizo la dunia,, lakini pia yaweza kua si kila siku kuna tatizo la maji maybe ilikua ni siku maalumu ndo maana hata ikaripotiwa . kumbuka rwanda ni vilima na kuna chemchem nyingi sana ....