Lakinimkuu mbona haya ni matatizo yanchi nyingi tu hapa Africa. Hata hapo Dar Kuna beggars wanalala. Street kwahiyo sioni ajabu.bado hujanishawishi. Tuseme tu ukweli Kagame ameisaidia sana kuibadilisha Rwanda.
Lakinimkuu mbona haya ni matatizo yanchi nyingi tu hapa Africa. Hata hapo Dar Kuna beggars wanalala. Street kwahiyo sioni ajabu.bado hujanishawishi. Tuseme tu ukweli Kagame ameisaidia sana kuibadilisha Rwanda.
jMali kwa nini wapenda kusema uongo? Kigali ipi ambayo mwezi wa saba sasa hakuna maji?
jMali nataka uwe exact wapi hakuna maji. Ni Kacyiru Nyabugogo Muhima Nyamirambo Cimirongo Remera au sehemu ipi ya Kigali? Hizo link wape watu wengine. Taarifa hizi sio za kweli
Ninachotaka ni kuweka rekodi straight kuwa Kigali sio London. Hayo maendeleo unayodai umeyaona ni kitu gani hasa? Mnashangaa usafi na magorofa halafu mnasema ndio maendeleo, what exactly ni maendeleo kwako? Burundi poverty level ni 66%, Rwanda ni 63%, there goes "maendeleo". Burundi wakiongeza only 3% na wenyewe watakuwa na maendeleo kama Rwanda au sio?
Kusaidia sana haimaanishi hakuna mwingine anayeweza.
Kuna wisdom kwenye kupokezana vijiti.
jMali
Lakinimkuu mbona haya ni matatizo yanchi nyingi tu hapa Africa. Hata hapo Dar Kuna beggars wanalala. Street kwahiyo sioni ajabu.bado hujanishawishi. Tuseme tu ukweli Kagame ameisaidia sana kuibadilisha Rwanda.
jMali nataka uwe exact wapi hakuna maji. Ni Kacyiru Nyabugogo Muhima Nyamirambo Cimirongo Remera au sehemu ipi ya Kigali? Hizo link wape watu wengine. Taarifa hizi sio za kweli
Maendeleo inabidi yawe ya watu wote wakiwemo wavaa yebo yebo na ndala
Kagame policy is to change Kigali into a high class city where only high class people live by chasing away from the city centre poor people, small businessmen and women (Machinga,mama nitile na wafanyabiashara ndogo ndogo) .This is very unfair.Their is no elite city in east Africa except the one Kagame wants to create at the expense of the poor people who used to earn their living in the city centre.Go any city in many african countries poor people are there in the city centre earning their living through petty trading.
Kagame kaumiza sana maskini na watu kujipatia vipato kigali kwa kutaka wenye nacho ndio wawe wenye kigali.Wavaa yebo yebo waonekane watu wa kuja na foreigners kigali.
Ungezisoma kwanza hizo link then ujue zimetokea gazeti gani ndo useme si za ukweli, mimi hata kama nimedandia basi kwa mbele naamini sana magazeti ya The EastAfrican wanakuwa hawanaga shobo
Mi nawahurumia waliopinga, wao na familia zao risasi zinawangojamkuu wacha The East African, mojawapo ya hizo links ni kutoka GAZETI LA SERIKALI YA RWANDA, new times! Lakini bado mbongo anabisha, mi nachokaga kweli....
Sawa boss. Ila ujue hizo habari sio za kweli! Ila anayetaka kuamini ni hiyari yake.Mkuu nimekuwekea links kutoka :
1. Gazeti la serikali ya Rwanda, New times Rwanda.
2. Gazeti la the east african. Ambalo kama hujui ni gazeti rafiki sana kwa Rwanda.
Sasa kama unabishana na "Dailynews" ya Rwanda kwenye habari za Rwanda, basi sawa, tufanye umeshinda, tufanye Kigali ina maji tena tele! Hawa the east african na New times wamelipwa na FDLR, RNC, Interahamwe, jmali....
ok! kwa hiyo yule colleague wako wa zamani Rwarakabije ni mvaa yeboyebo? wee unatatizo la ukabila sana jMali, tena inatokana na zile damu mlizokunywa 94! huku kwenu siku hizi huwezi kujuwa Mhutu au Mtutsi ni nani, sasa hayo umeyatoa wapi? punguza uchawi jMali...halafu leo Kagame bungeni kasema kesha anza kuwashughulisha waingeleza kwa upumbavu wao wa kuwasilikiza nyie Interahamwe... mtalia sana lakini hivi kila mtu anaanza kuwaona nuksi, mnawapatisha mshikemshike sana kwa mambo yasiyoeleweka... mtalia hadi machozi yakauke na bado....Kibaya zaidi wavaa yeboyebo majority ni kabila moja, wavaa suti ni minority wa kabila lake. Halafu analazimisha kuwa hakuna ukabila wote ni "wanyarwanda tu"!
Sawa boss. Ila ujue hizo habari sio za kweli! Ila anayetaka kuamini ni hiyari yake.
Mi nawahurumia waliopinga, wao na familia zao risasi zinawangoja
Usijali, huyu ni Mnyarwanda anatumiwa na yale makundi tunayopenda kuyaongelea na analipwa jamaa yuko kazini:Mkuu inaonyesha unapenda sana mambo ya Rwanda, maana kila nikipita hapa lazima nikute hayo mambo na wewe ndiyo mchangiaji mkubwa in a negative way. Kwanini? Mimi nauliza tu!
Kulingana na UNDP data Tanzania poverty rate ni 65.6%Mi sijadai Dar hakuna mambo kama hayo. Ninachotaka ni kuweka rekodi straight kuwa Kigali sio London. Hayo maendeleo unayodai umeyaona ni kitu gani hasa? Mnashangaa usafi na magorofa halafu mnasema ndio maendeleo, what exactly ni maendeleo kwako? Burundi poverty level ni 66%, Rwanda ni 63%, there goes "maendeleo". Burundi wakiongeza only 3% na wenyewe watakuwa na maendeleo kama Rwanda au sio?