STATUS ZA WANYAMA!

Red Scorpion

JF-Expert Member
Feb 1, 2012
5,736
4,252
Wanyama wangekuwa na WHAT'S UP.
Status zingekuwa:

MENDE: "nimekoswa na guu la mama mwenye Nyumba, maisha yangu mashakani, why always me???? "

PANYA: "nimekula nguo lenye pafyumu, nasikiaje kiu. uwiiiii"

NGURUWE: Binadamu wabaya jamani, wameshanizushia nasambaza mafua "

MBU: Nina HIV, nimekomaje kunyonyanyonya hovyo.

MBUZI: teh teh teh. thank Good pasaka imepita. ni kula BATA tuu mpaka EID.

KUKU: "friends mkiona kesho kimya mjue nipo mezani maana kuna wageni wamekuja leo hapa home, tuombeane uzima wapendwa, love you all"
 
BASHITE: "Zoezi la uhakiki vyeti litaisha lini? Duh, hatupumui kwa raha. Mkuu wa Magogoni wakati wowote uvumilivu wa shutuma dhidi yake utamshinda, anaweza kunirudisha Kolomije!".
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom