Wanyama waamua kujilinda…

Wanyama wanajilinda na telescopic gun wakimuogopa nani? Ingekuwa Tembo mbaya wao tunamjua!!
 
Kwa namna hii Kinana yuko hatarini

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
Hahahaha...kweli hali si nzuri...abiria chunga mzigo wako!
 
mKUU Mkereketwa_Huyu Serikali imeshindwa kuwalinda sas wameamuwa wao wenyewe Wajilinde Serikali imewapa Silaha ni kupişga piga kama alivyosema Mheshimiwa Pinda Piga tu.


Basi kama ni hivyo nasi tutawarudishia vipigo wavitakavyo huko uchochoroni, Pinda mwenyewe atakuja kwenye TV huku akilia na kuomba radhi.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…