Siku tukija kulifahamu hili basi tutaongeza idadi ya Watalii wanaokuja kutembelea nchi yetu hata mara 5 ya sasa!
Tumelelewa na hii imani potofu kwamba Watalii wanakuja kuangalia Wanyama, ingawaje ni kweli kwa kiasi fulani lkn wanaokuja kwa ajili hiyo ni wachache sana, Watalii wengi wanataka kuja beach nzuri kama Zanzibar, kwenye visiwa kwa akifupi wanataka kula bata na siyo ujinga wa kuangalia tembo wakipandana, huu ujinga walitujaza Wazungu, ukiangalia nchi zinazoongoza kuleta Watalii Duniani hawafugi wanyama kama sisi, angali Sheli sheli, Mauritius hata Kenya Watalii wengi hawaendi Masai Mara bali wanaenda Malindi, Mombasa na Visiwani huko.
Nina uhakikakwa mfano kama maeneo yetu ya kale kama Bagamoyo tungewekeza vizuri Watalii wangefurika, hata Kigoma, Tabora au Mwanza na Kagera kuzunguka Ziwa kama tungewekeza kwenye beach nzuri na mahali pa chill na relax watu wangefurika kwa fujo, lkn siyo huu ujinga wetu wa sasa wa kutenga maeno heka na heka kwa jili ya Wanyama, hatutafanikiwa ng'o!
By the way zaidi ya 50% ya Watalii wanaokuja TZ, hawaji kwa jili ya Wanyama bali wanaenda Zanzibar, ukiondoa Zanzibar idadi ya Watalii itapungua kwa 50%, ...
Unaogpa kuliwa mkuu na faruNi kweli hata mimi sioni sababu ya kufunga safari kwenda mbugani kwa ajili ya kuwaangalia faru john na faru ndugai, huo utakuwa ni ushamba na ulimbukeni, faru wenyewe ni wakorofi
Faru john na faru ndugai ni wakorofi kama wamelewa pombeUnaogpa kuliwa mkuu na faru
Itakuwa wanatumia vileviFaru john na faru ndugai ni wakorofi kama wamelewa pombe
Kuna wakati Kenya Waziri wao wa utalii alikuwa mzungu na aliimarisha sana utalii miaka ya 90. Exposure inasaidiaOfcourse....lakn mi mwenyewe naona kama hatutaki kuongeza vivutio vya utalii kwa kuvijenga wenyewe na kuvitengeneza.....tumebaki tunakumbatia utalii wa wanyama ambao kila dakika wanapungua
kabisa kabisa kwa hizi muvi wanazotuletea wana lumumba mbona tuue tu tembo wote ..wazungu wakitaka shangaa watakuja kuangalia ujinga wetu watanzania maana nayo ni maajabu ya dunia..../.kila eneo lina unique feature yake we mtu utafanananisha beach za zanzibar na copacabana au seychelles acha kujitoa ufahau kwa safari tours dunia nzima Tanzania inasifika kwa hilo kila siku ngorongoro kina oprah winfrey wabakuja angalia wanyamaSiku tukija kulifahamu hili basi tutaongeza idadi ya Watalii wanaokuja kutembelea nchi yetu hata mara 5 ya sasa!
Tumelelewa na hii imani potofu kwamba Watalii wanakuja kuangalia Wanyama, ingawaje ni kweli kwa kiasi fulani lkn wanaokuja kwa ajili hiyo ni wachache sana, Watalii wengi wanataka kuja beach nzuri kama Zanzibar, kwenye visiwa kwa kifupi wanataka kula bata na siyo ujinga wa kuangalia tembo wakipandana, huu ujinga walitujaza Wazungu, ukiangalia nchi zinazoongoza kuleta Watalii Duniani hawafugi wanyama kama sisi, angalia Paris, Tokyo, New York, Sheli sheli, Mauritius, hata AK watalii wengi wankwenda kwa ajili ya Cape town, Durban na siyo Kruger park au hata Kenya Watalii wengi hawaendi Masai Mara bali wanaenda Malindi, Mombasa na Visiwani huko.
Nina uhakika kwa mfano kama maeneo yetu ya kale kama Bagamoyo tungewekeza vizuri Watalii wangefurika, hata Kigoma, Tabora au Mwanza na Kagera kuzunguka Ziwa kama tungewekeza kwenye beach nzuri na mahali pa chill na relax watu wangefurika kwa fujo, lkn siyo huu ujinga wetu wa sasa wa kutenga maeno heka na heka kwa jili ya Wanyama, hatutafanikiwa ng'o!
By the way zaidi ya 50% ya Watalii wanaokuja TZ, hawaji kwa jili ya Wanyama bali wanaenda Zanzibar, ukiondoa Zanzibar idadi ya Watalii itapungua kwa 50%, ...
Yaaaaahhhh...just imagine maeneo kama dubai hawana mbuga wala hawana milima sijui matakataka gn......lkn ndo nchi inayopiga hela za watalii vibaya mnooo......Kuna wakati Kenya Waziri wao wa utalii alikuwa mzungu na aliimarisha sana utalii miaka ya 90. Exposure inasaidia
Katibu mkuu wa wizara angeletwa mtu mwenye mbinu mpya. Anaejua jinsi ya kuwaleta na kuwajengea mazingira rafiki. Awe anampa to waziri upto datesYaaaaahhhh...just imagine maeneo kama dubai hawana mbuga wala hawana milima sijui matakataka gn......lkn ndo nchi inayopiga hela za watalii vibaya mnooo......
kabisa kabisa kwa hizi muvi wanazotuletea wana lumumba mbona tuue tu tembo wote ..wazungu wakitaka shangaa watakuja kuangalia ujinga wetu watanzania maana nayo ni maajabu ya dunia..../.kila eneo lina unique feature yake we mtu utafanananisha beach za zanzibar na copacabana au seychelles acha kujitoa ufahau kwa safari tours dunia nzima Tanzania inasifika kwa hilo kila siku ngorongoro kina oprah winfrey wabakuja angalia wanyama
Exactly........ila ndo hvo sasa.......hela zenyewe wanagawana......kujenga tu system za kupeleka maji baharini na miundombinu ya jiji lao wameshindwa.......basi bhana.Karibu mkuu wa wizard angeletwa mtu mwenye mbinu mpya. Anaejua jinsi ya kuwaleta na kuwajengea mazingira rafiki. Awe anampa to waziri upto dates
ah ah ila kuna faru john..ila honestry speaking hivi wachangia hoja humu ndani kuna ambaye ameshawahi kwenda mbuga yoyote ya wanyama...maana .mi nimetembelea mikumi,saadan,kilwa ,bagamoyo ,mlima kilimanjaro na arusha national park..ukienda kwote huko hamna mazingira rafikikuenjoy yaani ni kama hamna aliyejipanga....gharama za kodi zimekua kubwa zinawaumiza wamiliki wa hotel,hamna taarifa kamili ya kile mnachoenda kiangalia,uelewa wa watu kuhusu utalii ni mdogo hapo ni ndani ya nchi emagine nje watajuaje,....sasa hapo unategemea nn...yaani kang"ombe hako hako kila mmoja anakanyonya...atleast mlima kilimanjaro naona mazingira yameboreshwa nalo nadhan linasababishwa na jinsi wakenya wanavyoutangaza mlima wetu nje ya nchiAcha kujidanganya wewe, Tembo wana upekee gani? AK wanawazalisha mpaka wanawauwa, isitoshe Opra anakwenda na kwingine pia ambako hkn Wanyama, kwanza ukifika Capetown unakumbana na watu maarufu kitaani tu, mimi nishamuona Chris Rock anachill kitaa nilipokuwa Capetown na hakuna Mtembo!