Ralphryder
JF-Expert Member
- Nov 16, 2011
- 5,599
- 1,798
Acha upuuzi unamdanganya nani??? wakati wewe ni Tupilike Aswile yule wa Isobhobho karibu na Bakenja bakajha bheghi Kaka yake Fikupya Mundeko wa Mbanyakatefu.
Ha ha ha ha bado sijakukumbuka
teh teh teh! Umenibamba!
Najua umenisahau. Naitwa Andekelile Lupakisyo Ambindwile Mwambalakata mtoto wa Afwelile Ambwene Mwakisujeje Mwakasokela anko yake na Asangalwisye Mwalunyasyo rafiki wa Bakangana Bukenja Bukomile na nduguye Mwamakimbula Bkunnyasya, nimesoma na Bankalalile Ngupasya ifyaitolo Fikufyuka.
Je,
wanikumbuka?
Aaah! Wewe sio mwafilombe, yule ndugu yake na mwakikuti anayekaa karibu na anosisye kbla ya mwandamba
Mimi huwa sidanganywi kijingajinga, kuna siku moja naye Mbilike Isyamwalo akawa anataka kunidanganya kwamba Mbiki Nsumi ni Mnyakyusa nilimbishia aliyekuja kutufafanulia ni Mzee Lukama Lwakipiki.
Acha upuuzi unamdanganya nani??? wakati wewe ni Tupilike Aswile yule wa Isobhobho karibu na Bakenja bakajha bheghi Kaka yake Fikupya Mundeko wa Mbanyakatefu.
Haswaaa, wewe si babu yako ni Ambwene Kakumisi Mwasakafyuka na bibi yako Sinyeng'enye Bhikonkoma Kumaso
Acha upuuzi unamdanganya nani??? wakati wewe ni Tupilike Aswile yule wa Isobhobho karibu na Bakenja bakajha bheghi Kaka yake Fikupya Mundeko wa Mbanyakatefu.
Mimi huwa sidanganywi kijingajinga, kuna siku moja naye Mbilike Isyamwalo akawa anataka kunidanganya kwamba Mbiki Nsumi ni Mnyakyusa nilimbishia aliyekuja kutufafanulia ni Mzee Lukama Lwakipiki.
Ooo! Huyo binamu yangu! Si yule analimaga fiasi fya mfiringo!?
Kwenye hizo red ndiyo huwa nakwazika sana mkuu.
Nadhani hicho ni sawa na Fire uandike Faya, Mother=Maza, School=Skuul, Life=Laifu n.k
Ni aina ya maandishi ya kinyakyusa ambacho kimeanza kutumika na watu kadhaa mwishoni wa miaka ya tisini, lakini katika katika.
Matumizi ya ya maandishi ya aina hiyo katika red ni ya Ki-dictionary zaidi, yaani kulezea kuwa yanatamkwaje kwa sauti.
kinyakyusa asili huandikika kama kilivyo na kusomeka kama ilivyo kati hizo reded.
Mfano -
Andika - Tamka
Isobobo = Isobhobho
Bakaja Begi = Bhakaja bheghi
Baba = Bhabha
Gwamaka = Ghwamaka
N.k.
Nawasilisha