Je wanikumbuka?

Je wanikumbuka?

tindikalikali

JF-Expert Member
Joined
Jan 14, 2011
Posts
4,854
Reaction score
1,145
Najua umenisahau. Naitwa Andekelile
Lupakisyo Ambindwile Mwambalakata
mtoto wa Afwelile Ambwene Mwakisujeje
Mwakasokela anko yake na Asangalwisye
Mwalunyasyo rafiki wa Bakangana Bukenja
Bukomile na nduguye Mwamakimbula Bikuninyasya, nimesoma na Bankalalile
Ngupasya ifyaitolo Fikufyuka.
Je,
wanikumbuka?
 
Nakukumbuka ulikuwa unakaa jiran na Nsubisyo mwakisambwe mume wa Atupele mwaipaja ambaye alikuwa mwalimu wa Gwakisa Mwaikimba.Mwaikimba siku hizi anafanya kazi kwa Asukile Mwakamyanda ambaye ni mjombake Atupele Mwaijande ambaye ni binamu na Mwaikugile.Siku hizi naishi Mwakaleli nyuma ya Mwasumbi Pub.Nafanya kazi kwa Asajile Mwampulule.Mchungaji wangu anaitwa Lusekelo Mwakarobo na mzee wa kanisa ni Andendekisye Mwaijande.
 
Nakukumbuka,wewe ni mtoto wa mwansasu lutengano unakaa jirani na mwaibofu ambeye yupo nyuma ya nyumba ya mwakasungura
 
Nakukumbuka,wewe ni mtoto wa mwansasu lutengano unakaa jirani na mwaibofu ambeye yupo nyuma ya nyumba ya mwakasungura

huyo Mwaibofu ana mtoto wake anaitwa Asangalwisye Singolile Inyali anishi Dsm karibu na kanisa la Lusekelo Lununu
 
Haaa kumbe ndo we ambonisye mtot wa mwakipesile anayeish karibu na mzee mwalusanya dah umekuaa ulikuaga kadogo wew
 
Kumbeeee
Nimekukumbuka tulisoma wote Pa kijinja primary skulu nilikua nakaa jirani na Twitike Pakilo na Tutindaga Nsyagile mtoto wa Mwalimu Ngamanya Nganamahala mdogo wangu alikua anaitwa Mahala Ntengo na yule rafiki yako Ikisu Kipalapala yupo wapi sikuhizi?
Kina Ngatele Ubhwite walifiwa na baba yao Mzee Mukalambalale Bhamyitu
Mghonege
 
Kwa kweli umetengeza siku yangu vizuri sana, Ahasnte sana
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom