Nimemkumbuka dada mmoja pale kandete aliyekuwa anawapoza mabraza wetu wakilewa kindi aliitwa `NGONEPO'.
Loli ale ne kikulu kinywamu fijo u mwinetu jula,ndesi linga akali alipo.
kolefya, mwanyama,kipinya, mwailelela, ifyaitolo fikufyuka,uliti kuseka kungisi, bhajagalele, nsana gwa mbele.... hayo ni baadhi ya majina ya kinyakyusa ninayoyafahamu.