Mpap Ndabhit
JF-Expert Member
- Jan 15, 2014
- 380
- 534
Nilikuwa mahali fulani nikiangalia namna mambo yanavyokwenda. Sikuamini macho yangu kushuhudia ama pikipiki au Baiskeli zenye chata ya CCM zikikatiza kika baada ya dakika 5. Nikawaza Wanufaika wa pikipiki na Baiskeli za CCM wanatosha kabisa kuirudisha Madarakani! Kura za watu wengine zitakuwa za ziada tu.