GE2025 Wanu ahidi kumaliza tatizo la maji Makunduchi

GE2025 Wanu ahidi kumaliza tatizo la maji Makunduchi

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

PAYE

JF-Expert Member
Joined
Jun 19, 2025
Posts
354
Reaction score
395
Mgombea Ubunge kwa Tiketi ya Chama cha Mapinduzi CCM Mheshimiwa Wanu Hafidh Ameir amewaahidi wananchi wa jimbo la Makunduchi kuwa atahakikisha anasaidia utatuzi wa changamoto ya upatikanaji wa maji safi na salama ili wananchi wafaidike na huduma hiyo muhimu kwa mahitaji ya kibinaadamu na kijamii

Wanu ameeleza hayo wakati wa mkutano wa hadhara ukiofanyika katika viwanja vya Gereji Makunduchi Mkoa wa Kusini Unguja

Amesema hatua hizo za uchimbaji wa visima zitakua ni hatua za awali za kupinguza tatizo la maji wakati wananchi wakisubiri kufaidika na mradi mkubwa wa ujenzi wa matanki ya usambazaji wa maji katika mkoa wote wa Kusini Unguja unaotekezwa na serikali chini ya Ilani ya Chama cha Mapinduzi CCM.

 
Back
Top Bottom