WANTED:suzuki swift(Maroon)

snochet

JF-Expert Member
Joined
Mar 31, 2011
Posts
1,486
Reaction score
1,272
Inatafutwa Suzuki Swift ya kununua,iwe ya Maroon.
Kama kuna ambaye amefanikiwa kuiona suzuki swift ya rangi hiyo kwenye yard yoyote tafadhali anijuze.Nina special interest na hiyo rangi.
other specs:
Mileage:Chini ya 80,000km
HT51 VERSION
ENGINE:M13A - 1300 CC
nashukuru.

ATAKAYEONA AU ANALO ANALOUZA TAFADHALI ANI-PM
 
Kwa nini usichukue hata white ukabadili rangi?
 
Husipolipata tuwasiliane +971504374387 dubai..au PM..tuwasiliane ntakutafutia bila wasiwasi wowote
 
Kwa nini usichukue hata white ukabadili rangi?
Ninaamini rangi ya kiwandani ndiyo ina quality zaidi.n ule mng'ao haulingani na hizi rangi za garage za kichina....napenda kitu authentic
 
hii gari ipo inauzwa 10m ,number B ukihitaji nipigie 0657145555
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…