Herbalist Dr MziziMkavu
Platinum Member
- Feb 3, 2009
- 43,104
- 34,926
Naombeni na atakayemuona huyu anipigie simu, namba yangu ni 112
View attachment 206169
Jina lake nani?
amekutapeli nini na sisi tujue tusijetapeliwa kama wewe
Amekutapeli mkuu,???
Amekutapeli nini na anaitwa nani! Angalia huyo ni SWALA TANO!!
Huyu so mtoto kwa kikwete?
ni mtu wa Tanga au wapi,manake Muhongo alisha tuambia kuwa watu wa kutoka kule ni wavivu
Huyo mtu ni nani.? Anakaa wapi , alisoma wapi? Amekutapeli nn?
To a jibu we mzizi wacha
Mshavu dodo.
Huyu Mpumbavu anajiita LAHILL ASHIRAFI NABILI amewatapeli wadogo zangu wa kike nyumba ameuza nyumba yao kisha ametoweka na pesa zote. Nikimpata huyu Shetani nitamkata kichwa chake kitakuwa halali kwangu.Mkuu tufanunulie tafadhali
LAHILL ASHIRAFI NABIL
Mkuu MziziMkavu pole kwanza kwa utapeli huo. Huyu jamaa ni mwenyeji wa wapi??
Kiongozi pole sana, watu imani imetowekaHuyu Mpumbavu anajiita LAHILL ASHIRAFI NABILI amewatapeli wadogo zangu wa kike nyumba ameuza nyumba yao kisha ametoweka na pesa zote. Nikimpata huyu Shetani nitamkata kichwa chake kitakuwa halali kwangu.
Huyu Mpumbavu anajiita LAHILL ASHIRAFI NABILI amewatapeli wadogo zangu wa kike nyumba ameuza nyumba yao kisha ametoweka na pesa zote. Nikimpata huyu Shetani nitamkata kichwa chake kitakuwa halali kwangu.
Sospeter Muongo.Jina lake nani?
Mwenyeji wa Zanzibara na Mjini Dares-Salaam. Mkuu utafitiLAHILL ASHIRAFI NABIL