Wanna be Loved ?; Then Use what you Have.

Kanipendea usafi wangu wa mwili,,upishi mzuri niwapo jikoni,,huba nzuri tuwapo faraghani na mawazo mazuri tuwapo mazungumzoni!!
Any man's dream...., Hongera sana Daileen and keep it up.
 

Lakini kuvuta sigara si kitu mtu anazaliwa nacho. Ucheshi mfano ni nature ya mtu, na kweli kama mwenzio kakupendea hicho kitumie; l think hilo ndilo kubwa nililolipata from Sun WU. Sidhani kuna mtu anakuwa attracted kwa mwingine kisa anakunywa sana Konyagi au Mvutaji sana, kuna vitu anakuwa attracted navyo na anaforego hizo weakness kwa kuwa zile attraction forces (kama atazitumia right) zina nguvu zaidi.

Mf. ni Mtambuzi (confession yake kwenye uzi wake wa jana) ni mtu wa matani sana na mkewe anampendea hicho (hopefully pamoja na mambo mengine), kiasi kwamba hata kama akiwa ana weakness ya kucheat sana (l hope not), kwa kuwa tu anatumia ile kitu ambacho mkewe anakuwa weak vizuri ndoa/maisha yanaenda!
 
Nilipata ujumbe huu
"I like naughtiness in you" ina maana anapenda ukichaa wangu?
...
Ndio hivyo ilivyo yaani character yako ndio inakufanya kuwa kama ulivyo.., mi nimeshaona watu wakiwa kwenye chumba fulani au sehemu fulani yaani pote panakuwa na furaha.., wengine you don't know what to expect next.., yaani ni burudani tupu kuwa nao.

Nadhani anapenda swagga zako, si unajua tena hata watoto watukutu pia wanapendwa (yaani wakiwa hawapo everyone notices)
 

Couldn't put it better myself... Thanks...

Ni kweli kwenye relationship unakuta watu wengi badala ya kutumia yale mazuri yao.., wanakuwa wanatumia mabaya, na baada ya ugomvi na chuki wanaanza kukomoana na kufanyiana mabaya tu.., bila kujua baada ya muda wote wamebadilika na kuwa viumbe wa ajabu, wengine hata kama zamani walikuwa sio walevi wanaanza kunywa na kulewa (eti ili kusahau matatizo ya nyumbani)
 

nimepevuka, karibia nitahama rasmi hapo nyumbani. Kwani aunt, uncle akikucheat utamuacha?
 


Hapo nilimpata pia.... sema huo mfano nimetoa sio. Nimependa maelezo yako; you are right pamoja na Sun Wu.
 
nimepevuka, karibia nitahama rasmi hapo nyumbani. Kwani aunt, uncle akikucheat utamuacha?


Ankal wako simuachi hadi labda anitamkie kua sasa Sweetie sikutaki! For he is a good Man and worth it

Ila kumbuka.... Kuna mambo ambayo inabidi yatokee ndio ujue niece.... kwamba akicheat au akifanya lolote utamuacha? Hivo I don't know kwa kweli... Na kumbuka matatizo sio kucheat peke yake... mambo yaweza kua mengi mno; lingine hili ambalo Sun wu amegusia.... saa ingine beyond that. Lakini naona yategemea zaidi na yeye kukuonesha bado akupenda na kukuhitaji. Na kama siku zote wajua kua alikua akupenda hata pale atapokua tofauti wavumilia kwa kujua ni mapito (maana saa ingine guys don't say what eats them up; hili pia Sun kagusia... hivo bana haya mambo hayana formula);

Kuna formula nilitaka kukupa hapa ila inahusisha namba tatu na button imejam. Weekend ukija nitakupa tujaribu apply kwenye swali lako....lol
 

ooh! Nakuja j2 ila nitaondoka siku hiyo hiyo. Hiyo formular imenimotivate kuja. Lol.
 
ooh! Nakuja j2 ila nitaondoka siku hiyo hiyo. Hiyo formular imenimotivate kuja. Lol.


Good gal.... Ndio maana you are my favorite niece (Mwali usimwambie). Usisahau report ya shule ukija....
 


www.dictatorship.co.uk its realy pathetic!
 
Nilipata ujumbe huu
"I like naughtiness in you" ina maana anapenda ukichaa wangu?

Mmmh dada Kaunga!Ushaona kaka akamuonea wivu dada yake?Basi hapo mimi nimeona wivu jamani.Lakini waswahili wanasema mwenye dada hakosi shemeji kwahiyo ngoja niwe mpole tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…