Nguvu moja
JF-Expert Member
- Oct 20, 2017
- 3,370
- 2,715
Ndio umwambiage Mama naniliu nayeye awe anauchora. 😂😂😂Duuh
Hivyo hapaki wanja kabisaaa?Namshukuru Mungu huwa hachori hayo makitu labda nisipokuwa viwanja vya home hapo sijui
Hapaki kbs!Hivyo hapaki wanja kabisaaa?
Duuh! Mpe pole jamaani.Hapaki kbs!
Ndioo. Mpe pole.Pole!!?
kwanini?
Binafsi yake haamini katika hayo, nafikiri anamkopi mama yake mzazi hakuwahi kutumia vipodozi maisha yake yote. Sana sana anaweza kusuka au wakati mwingine kuweka dreadlocks.Ndioo. Mpe pole.
Sababu mie kama mie naona mwanamke bila wanja usoni bado hajawa mwanamke kamili. Sababu urembo muhimu Mbalizi hata kama age go. Hahahaaaa
Mwambie asijizeeshe bana. [emoji12][emoji12]
Ooh. Kama hivyo ni sawa Mbalizi.Binafsi yake haamini katika hayo, nafikiri anamkopi mama yake mzazi hakuwahi kutumia vipodozi maisha yake yote. Sana sana anaweza kusuka au wakati mwingine kuweka dreadlocks.
Ni hivo Hajar. Naona aliadapt ile ya mtoto umleavyo ndivyo akuavyoOoh. Kama hivyo ni sawa Mbalizi.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kuna watu wana vipaji vya kuchekesha jamani