Wanigeria nao waanzisha vurugu dhidi ya wahamiaji kutoka Afrika Kusini

MK254

JF-Expert Member
May 11, 2013
32,238
50,404
Taratibu kitaeleweka tu, raia Wanigeria wamewatishia wahamiaji kutokea Afrika Kusini wajiandae kibano iwapo ndugu zao wataendelea kufurushwa Kusini. Na ili kudhihirisha kwamba wanamaanisha, wameharibu ofisi za kampuni ya MTN ambayo imetokea AK.

Ni mwendo mpya Afrika yetu, mwaga mboga mwenzio amwage unga ili tuone shughuli yake.

nlsob9o4hbf6wtbg4vno

The MTN office in Abuja, Nigeria after being vandalised by protesters. Picture: @ubaniraymond/Twitter
JOHANNESBURG - Eyewitness News has learnt that anti-xenophobia protesters have vandalised MTN's offices in Nigeria's capital, Abuja.

It is understood that the building was damaged and office equipment was stolen.

A group of people were protesting against recent violence against foreigners in South Africa when the demonstration turned violent.

MTN's spokesperson says the company is preparing a statement about the incident.

MTN's Nigeria office vandalised in anti-xenophobia protest
 
Hawa jamaa wamezidi ss kila mwaka wanafanya hii issue naona sasa haitoishia nigeria nao watafanyiwa fujo popote walipo

Watatia akili, maana wakianza kusakwa na kufukuzwa kutoka kwenye nchi zote Afrika watapata picha.
 
Wanigeria wanaiharibu na kuichafua South Africa.....ni wauzaji wakubwa na wasambazaji wa madawa ya kulevya....hapo South africa.......

Ndio wamiliki wakubwa wa madanguro na kila aina ya uchafu.....

Wanawatukana sana wazawa...na wakati mwingine kuwachukulia wake zao kwa kuwarubuni kwa pesa zao za madawa....wameharibu sana jamii....
 
Wanigeria wanaiharibu na kuichafua South Africa.....ni wauzaji wakubwa na wasambazaji wa madawa ya kulevya....hapo South africa.......

Ndio wamiliki wakubwa wa madanguro na kila aina ya uchafu.....

Wanawatukana sana wazawa...na wakati mwingine kuwachukulia wake zao kwa kuwarubuni kwa pesa zao za madawa....wameharibu sana jamii....
Mkuu..,let's say wanigeria wote waondoke SA je tatizo la madawa litaisha SA?
Siko upande wa hao jamaa but tatizo ni kwamba wasouth hawataki kukubali tatizo
Drug lords sio wanaija pekee hata wasouth wenyewe wapo wengi tuu...kuna sehemu inaitwa tokoza iko alberton Johannesburg kuna malaya wanauzwa ma-pimp ni wazulu wenyewe...sema wasouth ninavyoona Mimi wanaile phobia hawapendani sasa Kama hawapendani wao kwa wao wasouth itakuwa vipi kwa foreigners
 
Co Nigeria tu, ikiwezekana ht nchi nyingine zilizobk za Afrika, km wa South wapo bc nao wafukuzwe tu, maana hawa jamaa wanajfanya WAMAFIA sn nchini kwao!
 
Ujinga ni Afrika wenyeji wakifanya vurugu kwa wageni tunasema ni xenophobia wakati Waingereza wanafanya vurugu hadi ligi ilisimama tukasema wanatetea maslahi yao ya ajira.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom