Du Chimunguru wewe mwisho we reli! hata mm nimekukubali. Nasikia hawa jamaa walikuwa wawindaji hodari sana, wakawinda hadi wanyama wote wakaisha, basi wakaamua wapeane majina wa wanyama kuwa wewe utaitwa Tembo, Mapunda, Tumbili n.k.
Kuna stori kuwa Pope John Paul alipoenda Songea (sikumbuka mwaka) akawauliza awafanyie nn? wakamjibu wanaomba afute amri ya sita kwani inawabana sana! teh teh!