Deo Corleone
JF-Expert Member
- Jun 29, 2011
- 17,023
- 13,370
ninapotaka mimi ni hapo tu!*2,hiiiihiiii hapo ndiooooo.Mtani hapo mna maana gani?
mbona pameandikwa kiswahili hujaelewa nini mtani
Deo!Tamaa hotii ndongo wanga!habari sya lukela?
Usituletee za kuleta hapa, na hao wanawake ambao unadai huwa hawafiki salama wanakuwa wa kabila gani...??? Ndola kumihu ko, keta mene...
hapo anamaanisha wanawake wa kirangi,wahaya,wamakonde,wamwera etc
Hahahaha....ila napenda kuwasikia wakiongea...lugha ina utamu fulani hivi
Katika jamii za Kibantu tumelelewakatika maisha ya utandi uliyosaidia kuleta udugu na utengamano na umoja wataifa hili na kuondoa ukabila! Nachotaka kusema watani zangu Wangonina Wamatengo ukiwapapesa wanafikisha, ila ukimpatia mwanamke imekula kwako! tatizo lingineWamatengo wanatofauti na wamatengo, ila hata wamatengo nao wanajifanya Wangonihapo wananiacha hio! Wana JF hebu tuambie kabila la watani zako wanasifagani maarufu?
Mbwitu kutuhombosa..!!
Hao kwenye red , usiwaseme sana, maana ukiwasema utaambiwa mara ya mwisho alionekana akienda dukani kununua kamba!!Mkuu Adrian Stepp,Mie watani wangu ni wazee wa kujining'iniza,wala panya,wazee wa chaghulagha,ombaomba,,ndg zangu wapogoro na mabaunsa wa mbeya. Sijui huyu mjinga yupo kwny kundi lipi! ila siye ndo mashujaa wa vita,
CC: wangoni wote.
sa ivi nikitongozwa nauliza kabila kwanza.....
kumbe tupo wengi hapaaaaaaaaaaaaa
Sa ivi nikitongozwa nauliza kabila kwanza.....
proudly NGONI hakuna raha km kuzaliwa mngoni.