Wangoni na wamatengo waogopeni

Kuna wimbo unaimbwa na Wangoni "ee bwana mdogo hiyo tabia gani, wanawake ni wengi wanaonekana hawa na sasa vipi mke wangu umfanye mpenzi" mwenye nao anitumie plz

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Asanteeeeeeeeee.
S

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mzee wangu ni Mngoni PURE ila Mama ni Mnyasa.. Technically Mimi ni "Half-cast"
..Nimefurahi kuona ndugu zangu mpo humu..

NB:Ni fact kwamba Wanaume wa Kingoni are the Most Gentlemen kinds of Men in Africa..




Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…