Wangapi wapo single humu?

Mbona nahisi wadada hampo kupokea hii neema nyie masingle ladies .
 
Hahahaha fa....l weee nimecheka hiyo namba nne haki ni kuvumilia
 
Technically kila mtu yupo single.. Inategemea na mazingira aliyopo tu
 
Mwandiko wa kiume kabisa huu.
 
Mi nasubilia hapa nimeambiwa mke mwema anatoka kwa bwana,sasa sijui ndo ww?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…