Wanawake ni jamii ya watu wanaochukiana sana wao kwa wao ndugu, huwa wanaoneana wivu hata wanapoona mwenzao kaenda msalani watalazimika na wao waende hata kama hawajabanwa na haja ili waonekane wapo levo mojaHuyu dada anashambuliwa sana kwa kuolewa na Marehemu Mengi, kwamba kafuata hela,golddigger etc. Sasa najiuliza hawa wanaomponda(wanawake) ni wangapi wangepata proposal ya kuolewa na late Mengi wangekataa? Ni wanawake gani hao Tz hii wangefanya kinyume na Klyn?
HAKUNA!Huyu dada anashambuliwa sana kwa kuolewa na Marehemu Mengi, kwamba kafuata hela,golddigger etc. Sasa najiuliza hawa wanaomponda(wanawake) ni wangapi wangepata proposal ya kuolewa na late Mengi wangekataa? Ni wanawake gani hao Tz hii wangefanya kinyume na Klyn?
A million question. Na ukitaka kujua wasingekataa wasome wote wanajadili mgao wa mali. Means hiyo ndiyo aim yao kubwa kuhusu ndoa kwa Mtu aina ya Mengi!! Kwa hiyo jibu lipo wazi kabisa.Huyu dada anashambuliwa sana kwa kuolewa na Marehemu Mengi, kwamba kafuata hela,golddigger etc. Sasa najiuliza hawa wanaomponda(wanawake) ni wangapi wangepata proposal ya kuolewa na late Mengi wangekataa? Ni wanawake gani hao Tz hii wangefanya kinyume na Klyn?
Kwani mengi akimuona klyn tu,kabla ya huyo ukute wapo wengi tu waliomkataa huyo babu
Hakuna wanawake Tanzania wenye uwezo wa kukataa mwanaume mwenye pesaKwani mengi akimuona klyn tu,kabla ya huyo ukute wapo wengi tu waliomkataa huyo babu
HakunaaaaHuyu dada anashambuliwa sana kwa kuolewa na Marehemu Mengi, kwamba kafuata hela,golddigger etc. Sasa najiuliza hawa wanaomponda(wanawake) ni wangapi wangepata proposal ya kuolewa na late Mengi wangekataa? Ni wanawake gani hao Tz hii wangefanya kinyume na Klyn?
Nakupenda-ga kwa kuwa mkweliHakunaaaa
Walikuwa wameshapeana divorce siku mingiHivi wakati mengi anamchukua na kufunga naye kinachosadikika ni ndoa nje ya nchi...Je!! ile ndoa ya awali aliyokuwa amafunga kwa taratibu za kikristu ambayo ni ndoa ya mke mmoja na mme mmoja isiyotenguliwa hadi kifo, je ndoa hiyo ilitenguliwa na nani wkati mke halali wa mengi alikuwa bado hai?
Huyu dada anashambuliwa sana kwa kuolewa na Marehemu Mengi, kwamba kafuata hela,golddigger etc. Sasa najiuliza hawa wanaomponda(wanawake) ni wangapi wangepata proposal ya kuolewa na late Mengi wangekataa? Ni wanawake gani hao Tz hii wangefanya kinyume na Klyn?
Ndoa ya kikristo hainaga talaka....Walikuwa wameshapeana divorce siku mingi
Alifumaniwa huyo mengi so ni ruskaNdoa ya kikristo hainaga talaka....
Nenda msibani nauli buku tatu tu hapoAlifumaniwa huyo mengi so ni ruska