Wangapi wanayapenda haya maisha?

Wamemuelemea tu maskini dada wa watu yeye anahenyeka na moto hapo mwingine juu anamwagia maziwa huku anataka kumdondokea na huyu jamaa anambambabamba hapo nyuma, wangekuwa wote free wanacheza bustanini au kitandani ingependeza zaidi!
 
I disagree

Anae mume hapo anamuonyesha malavidavi halafu katoto kake kapo pemben kanamchokoza

Uwepo wa watu hao wawili ni kafuraha tosha

Ukichunguza pcha hapo baharia atakuwa anaambiwa "nawe si usibiri nimalize kupika jamani we na junior ni wasumbufu "
Yeah she isn’t even happy

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nakubaliana kutofautianašŸ˜†
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…