Wangapi wanawajua wanamziki "MAKOMA"?!

Kati ya mwaka 2012 na 13 walikuja bongo kama sijakosea ni Prime time promotion ya clouds iliwaleta
 
Siku nazo zakimbia kama wanariadha.

Nakumbuka enzi hizo RFA ndio baba lao haswaa,wamepiga sana hizi,maana bongo mamho hayakuwa mengi kama sasa hivi.

Ilikuwa ni rahisi mmasai kijijini huko kuujua wimbo wa awilo,kuliko cool james.
 
Hahahaah
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…