kijani11 JF-Expert Member Joined Jan 19, 2014 Posts 8,407 Reaction score 9,267 Dec 8, 2014 #21 mshana jr said: Hasa wale warefu kwenda chini halafu wana stress za mapenzi Click to expand... mbona umesisitiza stress za mapenzi mkuu.
mshana jr said: Hasa wale warefu kwenda chini halafu wana stress za mapenzi Click to expand... mbona umesisitiza stress za mapenzi mkuu.
kabanga Platinum Member Joined Dec 12, 2011 Posts 37,638 Reaction score 19,032 Dec 8, 2014 #22 Hivi Sasa hivi wanaimba Kweli...?
Moisemusajiografii JF-Expert Member Joined Nov 3, 2013 Posts 55,109 Reaction score 103,316 Dec 8, 2014 #23 Hiyo ni "salute" kwa mwalimu na wimbo(siyo nyimbo kama watu fulani wanavyoita) wa taifa.Siku hizooo... 80's!
Hiyo ni "salute" kwa mwalimu na wimbo(siyo nyimbo kama watu fulani wanavyoita) wa taifa.Siku hizooo... 80's!
S Seif al Islam JF-Expert Member Joined Nov 14, 2011 Posts 2,156 Reaction score 640 Dec 8, 2014 #24 binadamu wote ni sawa shkaa moooooooooooo mwaaaaalimu moja.
K kamainaumasema Member Joined Sep 22, 2014 Posts 75 Reaction score 19 Dec 8, 2014 #25 Bwana Banzi said: Mungu ibariki....! Dah unanikumbusha zamani wakati nipo Chamwino Primary- Morogoro, aisee ni noumaaa, Click to expand... Bwana Banzi said: Mungu ibariki....! Dah unanikumbusha zamani wakati nipo Chamwino Primary- Morogoro, aisee ni noumaaa, Click to expand... Siku hz imepata pacha wake, KAMBARAGE P. SCH
Bwana Banzi said: Mungu ibariki....! Dah unanikumbusha zamani wakati nipo Chamwino Primary- Morogoro, aisee ni noumaaa, Click to expand... Bwana Banzi said: Mungu ibariki....! Dah unanikumbusha zamani wakati nipo Chamwino Primary- Morogoro, aisee ni noumaaa, Click to expand... Siku hz imepata pacha wake, KAMBARAGE P. SCH
Ngalikihinja JF-Expert Member Joined Sep 1, 2009 Posts 34,637 Reaction score 38,025 Dec 8, 2014 #26 Mi nilikuwa siweki hiyo maana nilokiwa kwenye ya shule.... ahahahhaa wanappweka hivyo mi napiga vile vingoma
Mi nilikuwa siweki hiyo maana nilokiwa kwenye ya shule.... ahahahhaa wanappweka hivyo mi napiga vile vingoma
Mshana Jr Platinum Member Joined Aug 19, 2012 Posts 375,483 Reaction score 869,933 Dec 8, 2014 Thread starter #27 kijani11 said: mbona umesisitiza stress za mapenzi mkuu. Click to expand... Kwakuwa ndio huwa zinaleta hasira popote pale iwe shule, hospital, polisi, au popote pale ofisini
kijani11 said: mbona umesisitiza stress za mapenzi mkuu. Click to expand... Kwakuwa ndio huwa zinaleta hasira popote pale iwe shule, hospital, polisi, au popote pale ofisini
samtot JF-Expert Member Joined Sep 18, 2013 Posts 268 Reaction score 154 Dec 8, 2014 #28 mshana jr said: Hapo bado kuitwa majina na ile style ya jana na Leo! Nakumbuka siku moja nilifanya maskhara nikasema juzi na kesho! Kilichotokea sitakaa nimtanie mwalimu mgeni tena Click to expand... juzi jana na leo
mshana jr said: Hapo bado kuitwa majina na ile style ya jana na Leo! Nakumbuka siku moja nilifanya maskhara nikasema juzi na kesho! Kilichotokea sitakaa nimtanie mwalimu mgeni tena Click to expand... juzi jana na leo