Wangapi wanaamini Mobutu alikuwa Rais mbaya?

Kongo ilivyojaa umasikini unasema Mobutu alikuwa raisi Bora Una kichaa weww
 
Unamtetea Mobutu? Wewe Leo unamtetea Mobutu? Kabisa!!!!
 
Huyo mtu wenu alikuwa mgonjwa. Msisingizie wazungu.
 
Kama tunavyoaminishwa kuhusu serikali ya Zanzibar na Mapinduzi kuwa alipinduliwa mfalme na siyo Serikali ya Shamte iliyochaguliwa na watu
 
Mamilioni wapi? Watu walienda kushangaa tu mizinga si unajua ushamba wa wa tz? Kiufupi mwamba hakuwa mtu kabisa!
Alipendwa na watu kaka, hata kinamama wa huko Geita walioweka kanga barabarani na wao waliishangaa mizinga?.

JPM aligusa mioyo ya watu, angalau aliwaongelea na kuonyesha kuwajali.
 
Magu lilikuwa liuwaji, jizi, na jitu linalopenda majisifu.
Limeingia madarakani kwa kuiba kura kuuwa na kutesa watu, Mungu alimhitaji kuinusuru jamii isiangamie. Ni Sawa Kama liliuwawa au lilikufa kwa maradhi
 
Alipendwa na watu kaka, hata kinamama wa huko Geita walioweka kanga barabarani na wao waliishangaa mizinga?.

JPM aligusa mioyo ya watu, angalau aliwaongelea na kuonyesha kuwajali.
Huko hakuuwa mtu lakini kwa waliouwawa na kutesa jamaa zao na kuchukuliwa Mali na kubambikiwa kesi ,Jiwe lilikuwa jambazi tu lililostahili adhabu kali
 
Hakuna barabara yamaana iliyo jengwa namagu akiwa rais ila zilijengwa kipindi yeye akiwa waziri waujenzi hini ya kikwete
 
Basi na mimi nitakuwa gaidi maana nilishangilia kweli kifo cha lile dubwana
 
Huko hakuuwa mtu lakini kwa waliouwawa na kutesa jamaa zao na kuchukuliwa Mali na kubambikiwa kesi ,Jiwe lilikuwa jambazi tu lililostahili adhabu kali
Ukimuona wewe Jambazi kuna wale aliwawezesha wakatumia taaluma zao kwa faida ya TZ yetu, wanamuona kama malaika vile.

Kuna wale walikuwa kitaa hawana hili wala lile na vyeti vyao vipo njema tu lakini nafasi zao zikishikiliwa na jamaa wa vyeti vya stationary, hawa watamkumbuka mpaka siku wanakwenda kaburini.

Kuna kina Laizer wa mawe yenye thamani wakaja kushika mabilioni ya pesa, hawa wataendelea kumkumbuka JPM.

Shetani kwa baadhi ya watu wachache tu, lakini malaika kwa mamilioni ya watanzania
 


Ni kweli maneno yako wengine ni akina Bashite

 
Mobutu wa Chattle?
 
Ye mwenyewe alikuwa liuaji tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…