Hao wapo kwenye payroll ya mashirika ya Kijasusi ya hizo nchiMifano ni china,Iran na urussi je apuuzwe!
Yeah huwezi ongoza watu wengi kwa akili za kikundi cha watu wachache.Mifano ni china,Iran na urussi je apuuzwe!
Iran na urusi Wana demokrasia. Wanachagua rais na wabungeMifano ni china,Iran na urussi je apuuzwe!
Kwani unadhani kwenye demokrasia wanaongoza wengi?Yeah huwezi ongoza watu wengi kwa akili za kikundi cha watu wachache.
Kiufupi jamaa ni kilaza ila yupo entitled sanaShida ya Mwalimu google anaona anajua kuliko wote wakati hajui. Siku aliposema siku akiwa rais Kuna watu lazima awaue nikaacha kumsikiliza. Yupo entitled sana. Halafu yeye Kila baya ni marekani na NATO.