Wangapi mmepewa talaka mahakamani leo 31 dec 2010??? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wangapi mmepewa talaka mahakamani leo 31 dec 2010???

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by BASIASI, Dec 31, 2010.

 1. BASIASI

  BASIASI JF-Expert Member

  #1
  Dec 31, 2010
  Joined: Sep 20, 2010
  Messages: 3,111
  Likes Received: 345
  Trophy Points: 180
  Napenda kuwapa pole wale wote walioshindwana na Ndoa na kuamua kuelekea kulsuluhisha
  mahakamani baada ya Muda mrefu wa vikao vya kusuluhishana kwa wazazi
  Polen sana sana na Mungu atawalinda na kuwabariki ila lipo jambo jema Mungu huwa anatoa pale unapomwomba...yawezekana ulipenda kwa kutumia macho yako bila kumshirirkisha Mungu yawezekana alikusaidia schol fees jangwani sec mpaka formsix ukaona huyu ndie wa bwana kumwacha ntamwachaje hata akiwa na vimeo vyake na mengineyo ...yote hayo naomba ufute uanze upya na maisha yako simama na MUNGU akulinde akupiganie...usikubali kuanza kushindana kwa kuonyeshana nani mwamaba..wapo wanaokufa kabla ya mafanikio yao..lakini usikubali uujinga wa kushindana hata kidogo mtakufa na kumalizana

  Nawatakia kila la kheri na fanaka na Ndoa mpya
   
 2. Elia

  Elia JF-Expert Member

  #2
  Dec 31, 2010
  Joined: Dec 30, 2009
  Messages: 3,442
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  Mkuu hii nzuri ila naon kama inatonesha makovu!:redfaces:
   
 3. Rose1980

  Rose1980 JF-Expert Member

  #3
  Dec 31, 2010
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 5,701
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0
  dah we kaka umeongea point jaman
  asante sana
  i wl stend on ma fit.
  thaxxxxxxxxxxxxxxxx so much
   
Loading...