Totos Boss JF-Expert Member Joined Dec 30, 2012 Posts 5,456 Reaction score 1,569 Jun 20, 2013 #21 Watu wanapiga hatua mbele kimaendeleo sisi tunarudi nyuma
Watu8 Platinum Member Joined Feb 19, 2010 Posts 76,320 Reaction score 108,378 Jun 20, 2013 #22 Ally Kombo said: hata hayo mambo wao ndio wa kwanza kauamini ! Jiulize kule Kanisani ni kwa nini wanao tolewa mapepo 90% ni wanawake ? Click to expand... Nadhani jibu lipo hapo kwenye RED.
Ally Kombo said: hata hayo mambo wao ndio wa kwanza kauamini ! Jiulize kule Kanisani ni kwa nini wanao tolewa mapepo 90% ni wanawake ? Click to expand... Nadhani jibu lipo hapo kwenye RED.
Ngangasyonga JF-Expert Member Joined Sep 13, 2010 Posts 455 Reaction score 71 Jun 21, 2013 #23 KYALUMUKUNZA said: Mkuu umenikumbusha mbali usemi huu upo kwenye hesabu za function na relation tulikuwa tunasema ''all Sangas are Kingas but not all Kingas are Sangas. Click to expand... "Mwl.Kimonyola enzi za machipi hizo"
KYALUMUKUNZA said: Mkuu umenikumbusha mbali usemi huu upo kwenye hesabu za function na relation tulikuwa tunasema ''all Sangas are Kingas but not all Kingas are Sangas. Click to expand... "Mwl.Kimonyola enzi za machipi hizo"
Mohamed R JF-Expert Member Joined Mar 28, 2013 Posts 2,232 Reaction score 426 Jun 21, 2013 #24 kabanga said: hivi kuna watu bado wanafanya haya mambo? Click to expand... Ndio maana shinyanga wanajitahidi kuondoa udhia huu usiokuwa wa msingi.
kabanga said: hivi kuna watu bado wanafanya haya mambo? Click to expand... Ndio maana shinyanga wanajitahidi kuondoa udhia huu usiokuwa wa msingi.