Amavubi JF-Expert Member Joined Dec 9, 2010 Posts 30,156 Reaction score 13,267 Jun 20, 2013 #1 Huyu ndiye mwanamke aliyekamatwa hivi karibuni akikiwangia kivulana cha miaka 9 huko Tegeta, Umeshawahi ona mwanga wa kiume?
Huyu ndiye mwanamke aliyekamatwa hivi karibuni akikiwangia kivulana cha miaka 9 huko Tegeta, Umeshawahi ona mwanga wa kiume?
kabanga JF-Expert Member Joined Dec 12, 2011 Posts 37,506 Reaction score 18,872 Jun 20, 2013 #2 hivi kuna watu bado wanafanya haya mambo?
Watu8 Platinum Member Joined Feb 19, 2010 Posts 76,285 Reaction score 108,303 Jun 20, 2013 #3 mara zote ninazoshuhudia kukamatwa kwa wanga, huwa wanakuwa ni kina mama...kulikoni???
Amavubi JF-Expert Member Joined Dec 9, 2010 Posts 30,156 Reaction score 13,267 Jun 20, 2013 Thread starter #4 kabanga said: hivi kuna watu bado wanafanya haya mambo? Click to expand... only in TZ Kabanga
Amavubi JF-Expert Member Joined Dec 9, 2010 Posts 30,156 Reaction score 13,267 Jun 20, 2013 Thread starter #5 watu8 said: mara zote ninazoshuhudia kukamatwa kwa wanga, huwa wanakuwa ni kina mama...kulikoni??? Click to expand... nami najiuliza mkuu
watu8 said: mara zote ninazoshuhudia kukamatwa kwa wanga, huwa wanakuwa ni kina mama...kulikoni??? Click to expand... nami najiuliza mkuu
Amavubi JF-Expert Member Joined Dec 9, 2010 Posts 30,156 Reaction score 13,267 Jun 20, 2013 Thread starter #6 watu8 said: mara zote ninazoshuhudia kukamatwa kwa wanga, huwa wanakuwa ni kina mama...kulikoni??? Click to expand... unakusudia kina mama au wanawake? maana si wanawake wote ni akina mama bali akina mama wote ni wanawake
watu8 said: mara zote ninazoshuhudia kukamatwa kwa wanga, huwa wanakuwa ni kina mama...kulikoni??? Click to expand... unakusudia kina mama au wanawake? maana si wanawake wote ni akina mama bali akina mama wote ni wanawake
Watu8 Platinum Member Joined Feb 19, 2010 Posts 76,285 Reaction score 108,303 Jun 20, 2013 #7 Amavubi said: unakusudia kina mama au wanawake? maana si wanawake wote ni akina mama bali akina mama wote ni wanawake Click to expand... Namaanisha wanawake tena wenye umri wa makamo...
Amavubi said: unakusudia kina mama au wanawake? maana si wanawake wote ni akina mama bali akina mama wote ni wanawake Click to expand... Namaanisha wanawake tena wenye umri wa makamo...
K KYALUMUKUNZA Senior Member Joined Aug 19, 2012 Posts 145 Reaction score 28 Jun 20, 2013 #8 Amavubi said: unakusudia kina mama au wanawake? maana si wanawake wote ni akina mama bali akina mama wote ni wanawake Click to expand... Mkuu umenikumbusha mbali usemi huu upo kwenye hesabu za function na relation tulikuwa tunasema ''all Sangas are Kingas but not all Kingas are Sangas.
Amavubi said: unakusudia kina mama au wanawake? maana si wanawake wote ni akina mama bali akina mama wote ni wanawake Click to expand... Mkuu umenikumbusha mbali usemi huu upo kwenye hesabu za function na relation tulikuwa tunasema ''all Sangas are Kingas but not all Kingas are Sangas.
Amavubi JF-Expert Member Joined Dec 9, 2010 Posts 30,156 Reaction score 13,267 Jun 20, 2013 Thread starter #9 watu8 said: Namaanisha wanawake tena wenye umri wa makamo... Click to expand... hapa tuko pamoja kiongozi
watu8 said: Namaanisha wanawake tena wenye umri wa makamo... Click to expand... hapa tuko pamoja kiongozi
Amavubi JF-Expert Member Joined Dec 9, 2010 Posts 30,156 Reaction score 13,267 Jun 20, 2013 Thread starter #10 KYALUMUKUNZA said: Mkuu umenikumbusha mbali usemi huu upo kwenye hesabu za function na relation tulikuwa tunasema ''all Sangas are Kingas but not all Kingas are Sangas. Click to expand... nilikua naupenda sana huu usemi
KYALUMUKUNZA said: Mkuu umenikumbusha mbali usemi huu upo kwenye hesabu za function na relation tulikuwa tunasema ''all Sangas are Kingas but not all Kingas are Sangas. Click to expand... nilikua naupenda sana huu usemi
Amavubi JF-Expert Member Joined Dec 9, 2010 Posts 30,156 Reaction score 13,267 Jun 20, 2013 Thread starter #11 kibibi masikini
Amavubi JF-Expert Member Joined Dec 9, 2010 Posts 30,156 Reaction score 13,267 Jun 20, 2013 Thread starter #12 tobaaaaaaaaaaaaaaaaa
Amavubi JF-Expert Member Joined Dec 9, 2010 Posts 30,156 Reaction score 13,267 Jun 20, 2013 Thread starter #13 hivi kwani shetani alikua mwanamke au mwanaume?
Amavubi JF-Expert Member Joined Dec 9, 2010 Posts 30,156 Reaction score 13,267 Jun 20, 2013 Thread starter #14 why always WOMEN?
Amavubi JF-Expert Member Joined Dec 9, 2010 Posts 30,156 Reaction score 13,267 Jun 20, 2013 Thread starter #15 Oh bibi masikini
Amavubi JF-Expert Member Joined Dec 9, 2010 Posts 30,156 Reaction score 13,267 Jun 20, 2013 Thread starter #16 Huyu si ajuza sana
S SURUMA JF-Expert Member Joined Mar 22, 2011 Posts 2,892 Reaction score 1,068 Jun 20, 2013 #17 watu8 said: mara zote ninazoshuhudia kukamatwa kwa wanga, huwa wanakuwa ni kina mama...kulikoni??? Click to expand... Japo ni MAMA ZETU ila hii inakuonesha jinsi gani wanaweza kuwa na roho mbaya
watu8 said: mara zote ninazoshuhudia kukamatwa kwa wanga, huwa wanakuwa ni kina mama...kulikoni??? Click to expand... Japo ni MAMA ZETU ila hii inakuonesha jinsi gani wanaweza kuwa na roho mbaya
Amavubi JF-Expert Member Joined Dec 9, 2010 Posts 30,156 Reaction score 13,267 Jun 20, 2013 Thread starter #18 wanawake kila kona ya uchawi, why?
Amavubi JF-Expert Member Joined Dec 9, 2010 Posts 30,156 Reaction score 13,267 Jun 20, 2013 Thread starter #19 huruma sana dah
Ally Kombo JF-Expert Member Joined Nov 11, 2010 Posts 11,429 Reaction score 2,653 Jun 20, 2013 #20 watu8 said: mara zote ninazoshuhudia kukamatwa kwa wanga, huwa wanakuwa ni kina mama...kulikoni??? Click to expand... hata hayo mambo wao ndio wa kwanza kauamini ! Jiulize kule Kanisani ni kwa nini wanao tolewa mapepo 90% ni wanawake ?
watu8 said: mara zote ninazoshuhudia kukamatwa kwa wanga, huwa wanakuwa ni kina mama...kulikoni??? Click to expand... hata hayo mambo wao ndio wa kwanza kauamini ! Jiulize kule Kanisani ni kwa nini wanao tolewa mapepo 90% ni wanawake ?