Wanetu mnasemaje? Jux kaomba radhi kweli au kachamba umbea? au tuendelee kufanya kazi tu?

Bawabu wa pili

Senior Member
Joined
Nov 14, 2025
Posts
147
Reaction score
432
Wanetu mnasemaje? Kaomba radhi kweli au kachamba umbea? JUMA, sisi na wewe tumepita wapi? Sisi na wewe hatujapitia chochote. Kwanza hiyo AFRIMA ni kitu gani ili tuanze kusaga kunguni mapema

Staa wa muziki wa Bongo Fleva Juma Jux amefunguka kwa mara ya kwanza kuhusu kauli iliyosambaa mwaka jana aliyoizungumza msanii Diamond wakiwa wote kwenye gari yeye pamoja na wasanii wengine fanyeni kazi acheni kulalamika.

"Vitu vinatokea lakini sitaki kurudisha vya nyuma naweza nikasema mtoto akinyea mkono huwezi kuukata unasafisha unaendelea na maisha mengine vilivyotokea vimetokea,inawezekana Kuna watu hawakupendezwa na kauli hiyo ila sasa tutafanyaje na mambo yameshapita tayari "Alisema Jux

Wanetu mnasemaje? Kaomba radhi kweli au kachamba umbea? JUMA, sisi na wewe tumepita wapi? Sisi na wewe hatujapitia chochote. Kwanza hiyo AFRIMA ni kitu gani ili tuanze kusaga kunguni mapema.. kabla sijasahau, MATAKO YAKO!

Staa wa muziki wa Bongo Fleva Juma Jux amefunguka kwa mara ya kwanza kuhusu kauli iliyosambaa mwaka jana aliyoizungumza msanii Diamond wakiwa wote kwenye gari yeye pamoja na wasanii wengine fanyeni kazi acheni kulalamika.

"Vitu vinatokea lakini sitaki kurudisha vya nyuma naweza nikasema mtoto akinyea mkono huwezi kuukata unasafisha unaendelea na maisha mengine vilivyotokea vimetokea,inawezekana Kuna watu hawakupendezwa na kauli hiyo ila sasa tutafanyaje na mambo yameshapita tayari "Alisema Jux

WANAWAKE HUWA MNAANDIKA NYUZI ZENU KAMA WOTE TUNAWAFAHAMU MASHOGA WENU. HATA SISI WENGINE HATUJUI UNAZUNGUMZIA NINI NAONA UNACHAMBA TU WENZIO. Hayo mambo mkafanyie huko jikoni au saluni
 
Wanetu mnasemaje? Kaomba radhi kweli au kachamba umbea? JUMA, sisi na wewe tumepita wapi? Sisi na wewe hatujapitia chochote. Kwanza hiyo AFRIMA ni kitu gani ili tuanze kusaga kunguni mapema

Staa wa muziki wa Bongo Fleva Juma Jux amefunguka kwa mara ya kwanza kuhusu kauli iliyosambaa mwaka jana aliyoizungumza msanii Diamond wakiwa wote kwenye gari yeye pamoja na wasanii wengine fanyeni kazi acheni kulalamika.

"Vitu vinatokea lakini sitaki kurudisha vya nyuma naweza nikasema mtoto akinyea mkono huwezi kuukata unasafisha unaendelea na maisha mengine vilivyotokea vimetokea,inawezekana Kuna watu hawakupendezwa na kauli hiyo ila sasa tutafanyaje na mambo yameshapita tayari "Alisema Jux

Huyu Choko Pro Max kwa $ 1000 anapumuliwa kisogoni kwa kupakwa mafuta ya taa leo hii anataka kutuambia Nini??? Labda akawaambie machoko wenzake kina Uncle T
 
Back
Top Bottom