Wandishi wa Al Jazeera miaka 7 jela

Wandishi wa Al Jazeera miaka 7 jela

engmtolera

JF-Expert Member
Joined
Oct 21, 2010
Posts
5,149
Reaction score
1,441
Mahakama nchini Misri imewahukumu jela miaka saba wandishi watatu wa habari wa shirika la habari la Al Jazeera waliokuwa wamezuiliwa kwa miezi sita nchini humo.

Walipatikana na hatia ya kueneza habari za kupotosha na kushirikiana na kundi la wapiganaji wa kiisilamu la Muslim Brotherhood.

Mmoja wa wandishi hao ni Peter Greste, raia wa Australia na ambaye pia alikuwa mwandihi wa habari wa BBC wakati moja.

Chanzo: BBC
 
Imenisikitisha sana kufungwa kwa hawa waandishi hasa huyu peter creste nilikuwa napenda reporting style yake.its so sad ....
 
Imenisikitisha sana kufungwa kwa hawa waandishi hasa huyu peter creste nilikuwa napenda reporting style yake.its so sad ....

usalama waandish misr u mashakan,Uko wap uhuru wa wanahaabari!
 
Ni rahisi sana kutambua ni nchi za aina gani duniani ambazo zina matendo yaliyo uncultured and uncivilised. Huhitaji kuwa na akili ya Einstein kutambua hilo.
 
Kama wamepotosha wafungwe tu,nadhani wasingepotosha wasingeshitakiwa.
 
Back
Top Bottom