GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 56,694
- 109,128
Hiyo ni Mkia ila anatafuta bwana JangwaniAiseh mnaibiwa vyura mnashida
Ni kutokujua tu , ungekuwa unajua labda ungekaa kimya.
Genta katika ubora wako, always pumba tupu.Natambua kuwa kila mwana Yanga SC hapa Jamvini anatambua kuwa Mimi An Eagle ni Mwanachama mwenye Uchungu kabisa na Klabu yetu hii ( nikiwa na Kadi Namba 031....91287...6 ) hivyo mambo ambayo huwa nayasema hapa huwa nakuwa nawapigania Yanga na Maslahi yao pia.
Ndugu zangu wana Yanga huenda wengi wenu mkawa hamjui au hamjatambua lolote lile ila Mimi kama mwana Yanga lia lia najua kuwa Timu yetu inadhaminiwa na Azam tv pamoja na SpotiPesa pekee lakini nimeshangaa hivi karibuni baada ya tu Uongozi huu mpya Kuingia Madarakani naona Wadhamini wapya ambao hata katika Jezi zetu hawapo kabisa.
Wana Yanga wenzangu naona ‘ tunaibiwa ‘ na Uongozi wetu hivyo tusikubali, tuandamane upesi kwenda pale Klabuni kuwatoa na ikiwezekana hata Mechi yetu na Zesco United Jumamosi tusiende kabisa ili tuwakomesha kwani Uongozi huu mpya unatufanya wana Yanga SC wote tuna Akili za ‘ Kipa Katoka ‘ namaanisha za ‘ Kipumbavu ‘ wakati kumbe si kweli bali na Sisi tuna Akili kuliko hata Wao.
Hawa Wadhamini wafuatao hapa chini wanaifaidisha vipi Yanga SC yetu? Na mbona ujio wao Sisi Wanachama akina An Eagle hatukufahamishwa katika Mikutano ya Klabu?
1. Taifa Gas
2. GSM Foam
3. Afya Water
Kama Uongozi wa Yanga SC hautanijibu Mimi An Eagle basi muda si mrefu nahamia rasmi kwa Watani zetu Simba SC ambao naona kwa sasa angalau Wao wanaendesha Timu yao Kisasa, Kisomi na Kiuweledi kabisa. Na nashauri pia kwa Wanachama wenzangu wote wa Yanga SC kuwa nanyi pia hamieni Simba SC ili ' tuukomoe ' huu Uongozi wetu kwani ' unatuibia ' Sisi wana Yanga.
Nikiwa kama mwana Yanga SC lia lia kabisa nimekasirika sana juu ya hili na nauomba Uongozi wa Yanga SC ' Ujiuzulu ' upesi.
Afya water tulifahamishwa zaman sana labda kama ulikuwa kijijini na huu sio msimu wa kwanza kuwa na afya water
Itakuwa vizuri. Lakini vizuri zaidi ni wewe kutangulia mbele kwenye maandamano yenyewe tena ukiwa hujavaa nguo hata moja kuonyesha ukubwa wa hasira ya kuibiwa uliyonayo.Natambua kuwa kila mwana Yanga SC hapa Jamvini anatambua kuwa Mimi An Eagle ni Mwanachama mwenye Uchungu kabisa na Klabu yetu hii ( nikiwa na Kadi Namba 031....91287...6 ) hivyo mambo ambayo huwa nayasema hapa huwa nakuwa nawapigania Yanga na Maslahi yao pia.
Ndugu zangu wana Yanga huenda wengi wenu mkawa hamjui au hamjatambua lolote lile ila Mimi kama mwana Yanga lia lia najua kuwa Timu yetu inadhaminiwa na Azam tv pamoja na SpotiPesa pekee lakini nimeshangaa hivi karibuni baada ya tu Uongozi huu mpya Kuingia Madarakani naona Wadhamini wapya ambao hata katika Jezi zetu hawapo kabisa.
Wana Yanga wenzangu naona ‘ tunaibiwa ‘ na Uongozi wetu hivyo tusikubali, tuandamane upesi kwenda pale Klabuni kuwatoa na ikiwezekana hata Mechi yetu na Zesco United Jumamosi tusiende kabisa ili tuwakomesha kwani Uongozi huu mpya unatufanya wana Yanga SC wote tuna Akili za ‘ Kipa Katoka ‘ namaanisha za ‘ Kipumbavu ‘ wakati kumbe si kweli bali na Sisi tuna Akili kuliko hata Wao.
Hawa Wadhamini wafuatao hapa chini wanaifaidisha vipi Yanga SC yetu? Na mbona ujio wao Sisi Wanachama akina An Eagle hatukufahamishwa katika Mikutano ya Klabu?
1. Taifa Gas
2. GSM Foam
3. Afya Water
Kama Uongozi wa Yanga SC hautanijibu Mimi An Eagle basi muda si mrefu nahamia rasmi kwa Watani zetu Simba SC ambao naona kwa sasa angalau Wao wanaendesha Timu yao Kisasa, Kisomi na Kiuweledi kabisa. Na nashauri pia kwa Wanachama wenzangu wote wa Yanga SC kuwa nanyi pia hamieni Simba SC ili ' tuukomoe ' huu Uongozi wetu kwani ' unatuibia ' Sisi wana Yanga.
Nikiwa kama mwana Yanga SC lia lia kabisa nimekasirika sana juu ya hili na nauomba Uongozi wa Yanga SC ' Ujiuzulu ' upesi.
Wewe ni simba damu na utakuwa umetumwa uje utuvuruge na zahera wetu na kwa taarifa yako wambie waliokutuma kuwa huu ni mziki mnene hatushikiki,hatuoni hatusikii wala hatuambiliki. Hii ni timu ya wananchi bwana
Natambua kuwa kila mwana Yanga SC hapa Jamvini anatambua kuwa Mimi An Eagle ni Mwanachama mwenye Uchungu kabisa na Klabu yetu hii ( nikiwa na Kadi Namba 031....91287...6 ) hivyo mambo ambayo huwa nayasema hapa huwa nakuwa nawapigania Yanga na Maslahi yao pia.
Ndugu zangu wana Yanga huenda wengi wenu mkawa hamjui au hamjatambua lolote lile ila Mimi kama mwana Yanga lia lia najua kuwa Timu yetu inadhaminiwa na Azam tv pamoja na SpotiPesa pekee lakini nimeshangaa hivi karibuni baada ya tu Uongozi huu mpya Kuingia Madarakani naona Wadhamini wapya ambao hata katika Jezi zetu hawapo kabisa.
Wana Yanga wenzangu naona ‘ tunaibiwa ‘ na Uongozi wetu hivyo tusikubali, tuandamane upesi kwenda pale Klabuni kuwatoa na ikiwezekana hata Mechi yetu na Zesco United Jumamosi tusiende kabisa ili tuwakomesha kwani Uongozi huu mpya unatufanya wana Yanga SC wote tuna Akili za ‘ Kipa Katoka ‘ namaanisha za ‘ Kipumbavu ‘ wakati kumbe si kweli bali na Sisi tuna Akili kuliko hata Wao.
Hawa Wadhamini wafuatao hapa chini wanaifaidisha vipi Yanga SC yetu? Na mbona ujio wao Sisi Wanachama akina An Eagle hatukufahamishwa katika Mikutano ya Klabu?
1. Taifa Gas
2. GSM Foam
3. Afya Water
Kama Uongozi wa Yanga SC hautanijibu Mimi An Eagle basi muda si mrefu nahamia rasmi kwa Watani zetu Simba SC ambao naona kwa sasa angalau Wao wanaendesha Timu yao Kisasa, Kisomi na Kiuweledi kabisa. Na nashauri pia kwa Wanachama wenzangu wote wa Yanga SC kuwa nanyi pia hamieni Simba SC ili ' tuukomoe ' huu Uongozi wetu kwani ' unatuibia ' Sisi wana Yanga.
Nikiwa kama mwana Yanga SC lia lia kabisa nimekasirika sana juu ya hili na nauomba Uongozi wa Yanga SC ' Ujiuzulu ' upesi.
Mim ni Shabiki wa Simba damu, Ila embu nieleweashe wewe Mshabki wa Yanga hapo umeibiwa kitu gani?
Wewe ni lunyasi uliyejificha Yanga na unaweza kuhama tu usitafute visingizio .Natambua kuwa kila mwana Yanga SC hapa Jamvini anatambua kuwa Mimi An Eagle ni Mwanachama mwenye Uchungu kabisa na Klabu yetu hii ( nikiwa na Kadi Namba 031....91287...6 ) hivyo mambo ambayo huwa nayasema hapa huwa nakuwa nawapigania Yanga na Maslahi yao pia.
Ndugu zangu wana Yanga huenda wengi wenu mkawa hamjui au hamjatambua lolote lile ila Mimi kama mwana Yanga lia lia najua kuwa Timu yetu inadhaminiwa na Azam tv pamoja na SpotiPesa pekee lakini nimeshangaa hivi karibuni baada ya tu Uongozi huu mpya Kuingia Madarakani naona Wadhamini wapya ambao hata katika Jezi zetu hawapo kabisa.
Wana Yanga wenzangu naona ‘ tunaibiwa ‘ na Uongozi wetu hivyo tusikubali, tuandamane upesi kwenda pale Klabuni kuwatoa na ikiwezekana hata Mechi yetu na Zesco United Jumamosi tusiende kabisa ili tuwakomesha kwani Uongozi huu mpya unatufanya wana Yanga SC wote tuna Akili za ‘ Kipa Katoka ‘ namaanisha za ‘ Kipumbavu ‘ wakati kumbe si kweli bali na Sisi tuna Akili kuliko hata Wao.
Hawa Wadhamini wafuatao hapa chini wanaifaidisha vipi Yanga SC yetu? Na mbona ujio wao Sisi Wanachama akina An Eagle hatukufahamishwa katika Mikutano ya Klabu?
1. Taifa Gas
2. GSM Foam
3. Afya Water
Kama Uongozi wa Yanga SC hautanijibu Mimi An Eagle basi muda si mrefu nahamia rasmi kwa Watani zetu Simba SC ambao naona kwa sasa angalau Wao wanaendesha Timu yao Kisasa, Kisomi na Kiuweledi kabisa. Na nashauri pia kwa Wanachama wenzangu wote wa Yanga SC kuwa nanyi pia hamieni Simba SC ili ' tuukomoe ' huu Uongozi wetu kwani ' unatuibia ' Sisi wana Yanga.
Nikiwa kama mwana Yanga SC lia lia kabisa nimekasirika sana juu ya hili na nauomba Uongozi wa Yanga SC ' Ujiuzulu ' upesi.
Hapo uliposema tusiende uwanjan ndiyo ulipokosea mana inaonesha wew Ni Simba damu bila Shaka
Wewe ni lunyasi uliyejificha Yanga na unaweza kuhama tu usitafute visingizio .
Yanga inautaratibu wake wa uongozi na upatanashaji habari na si mambo yote yanazngumzwa hadharani hata hivyo kuna viongozi wa matawi ambao wanafahamu fika kila kinachoendelea klabuni kwetu.
Nenda klabu ukaulize na siyo humu jamvini.Tunaibiwa Ndugu au Wewe huoni? Nahisi Wewe utakuwa ni mwana Simba SC ndiyo maana huna Uchungu na Sisi wana Yanga SC tunaoteseka na Uongozi wetu huu mpya ambao ni Mbovu na umejaa ' Wapigaji ' watupu.