Wanayanga wenzangu ‘ tunaibiwa ‘ mbona hawa ‘ Wadhamini ‘ wetu hawaonekani katika Jezi zetu?

Shadeeya

Shadeeya

JF-Expert Member
Joined
Mar 12, 2014
Messages
31,519
Points
2,000
Shadeeya

Shadeeya

JF-Expert Member
Joined Mar 12, 2014
31,519 2,000
Yote hii ni kutaka kujipa faraja na kujisahaulisha kwamba jumamosi wa kimataifa tutakuwa Uwanjani kukipiga na wakimataifa wenzetu.

Tulieni dawa iwaingie.
 
Natafuta kiki

Natafuta kiki

JF-Expert Member
Joined
Dec 27, 2016
Messages
290
Points
500
Natafuta kiki

Natafuta kiki

JF-Expert Member
Joined Dec 27, 2016
290 500
Natambua kuwa kila mwana Yanga SC hapa Jamvini anatambua kuwa Mimi An Eagle ni Mwanachama mwenye Uchungu kabisa na Klabu yetu hii ( nikiwa na Kadi Namba 031....91287...6 ) hivyo mambo ambayo huwa nayasema hapa huwa nakuwa nawapigania Yanga na Maslahi yao pia.

Ndugu zangu wana Yanga huenda wengi wenu mkawa hamjui au hamjatambua lolote lile ila Mimi kama mwana Yanga lia lia najua kuwa Timu yetu inadhaminiwa na Azam tv pamoja na SpotiPesa pekee lakini nimeshangaa hivi karibuni baada ya tu Uongozi huu mpya Kuingia Madarakani naona Wadhamini wapya ambao hata katika Jezi zetu hawapo kabisa.

Wana Yanga wenzangu naona ‘ tunaibiwa ‘ na Uongozi wetu hivyo tusikubali, tuandamane upesi kwenda pale Klabuni kuwatoa na ikiwezekana hata Mechi yetu na Zesco United Jumamosi tusiende kabisa ili tuwakomesha kwani Uongozi huu mpya unatufanya wana Yanga SC wote tuna Akili za ‘ Kipa Katoka ‘ namaanisha za ‘ Kipumbavu ‘ wakati kumbe si kweli bali na Sisi tuna Akili kuliko hata Wao.

Hawa Wadhamini wafuatao hapa chini wanaifaidisha vipi Yanga SC yetu? Na mbona ujio wao Sisi Wanachama akina An Eagle hatukufahamishwa katika Mikutano ya Klabu?

1. Taifa Gas
2. GSM Foam
3. Afya Water

Kama Uongozi wa Yanga SC hautanijibu Mimi An Eagle basi muda si mrefu nahamia rasmi kwa Watani zetu Simba SC ambao naona kwa sasa angalau Wao wanaendesha Timu yao Kisasa, Kisomi na Kiuweledi kabisa. Na nashauri pia kwa Wanachama wenzangu wote wa Yanga SC kuwa nanyi pia hamieni Simba SC ili ' tuukomoe ' huu Uongozi wetu kwani ' unatuibia ' Sisi wana Yanga.

Nikiwa kama mwana Yanga SC lia lia kabisa nimekasirika sana juu ya hili na nauomba Uongozi wa Yanga SC ' Ujiuzulu ' upesi.
Yaani we chizi ulitakiwa uwepo siku ileee pale msamvu
 
papason

papason

JF-Expert Member
Joined
Sep 14, 2010
Messages
2,993
Points
2,000
papason

papason

JF-Expert Member
Joined Sep 14, 2010
2,993 2,000
Mbona uandishi wako unafanana na yule ‘popoma’ flani hivi mnazi wa simba asiye choka kuinanga nanga timu pendwa ya wananchi au ndiyo wewe umekuja kivingine?
 
Jembekillo

Jembekillo

JF-Expert Member
Joined
Nov 29, 2011
Messages
3,884
Points
2,000
Jembekillo

Jembekillo

JF-Expert Member
Joined Nov 29, 2011
3,884 2,000
Wanaume tumekusikia dada gentamycine
 
Fideliiiz

Fideliiiz

JF-Expert Member
Joined
Dec 23, 2016
Messages
512
Points
500
Fideliiiz

Fideliiiz

JF-Expert Member
Joined Dec 23, 2016
512 500
Mpumbavu mkubwa ww mtoa mada tena ukome kufatilia timu ya wananchi mchawi ww
 
B

buhoro ksl

Senior Member
Joined
Apr 17, 2019
Messages
155
Points
250
B

buhoro ksl

Senior Member
Joined Apr 17, 2019
155 250
Usisahau kipensi tu, hiyo kesho kutwa dada
 
N

Nyambele anton

JF-Expert Member
Joined
Jul 17, 2013
Messages
263
Points
500
N

Nyambele anton

JF-Expert Member
Joined Jul 17, 2013
263 500
Maswala ya wadhani we yanakuhusu nini? Kazi yako ni kwenda uwanjani na kushabikia timu tu, Mengine waachie viongozi.
 
M

marikiti

JF-Expert Member
Joined
Oct 19, 2012
Messages
2,805
Points
1,500
M

marikiti

JF-Expert Member
Joined Oct 19, 2012
2,805 1,500
Ulifahamishwa peke yako labda ukiwa Chumbani na Mwenyekiti na Makamu wake au? Sisi kama wana Yanga SC hatuna taarifa yoyote ile na acha Kutupandisha Hasira kisha tususe hata Kuja Uwanjani Jumamosi Kuishangilia Timu yetu ikicheza na Zesco United au ukasababisha tukaenda kwa Mganga wetu Mwanza ambaye juzi aliwaogesha Wachezaji wetu wote wa Yanga SC Maji ya Maiti ya Hospitali moja Kubwa pale Mwanza ili abadilishe ' Uchawi ' wake na hatimaye tufungwe na tuumbuke? Unajua ni kwanini Beki wetu Juma Abdul ambaye alikuja Kumzika Mama yake Kesho yaka akalazimishwa apande Bung'o ( Ndege ) haraka ili aende Mwanza Kuungana na Wenzake na wamerejea wote Dar es Salaam jana Usiku? Hebu tuachie tunaoijua Yanga SC yetu tulalamike hapa na Wewe Simba SC tupishe tafadhali sawa?
WENZENU TANASAJILI WACHEZAJI WAZURI NYIE MNASAJILI WAGANGA NA WACHAWI HIYO NDIO YANGA YA KISASA.
 
An Eagle

An Eagle

JF-Expert Member
Joined
Feb 11, 2019
Messages
1,205
Points
2,000
An Eagle

An Eagle

JF-Expert Member
Joined Feb 11, 2019
1,205 2,000
WENZENU TANASAJILI WACHEZAJI WAZURI NYIE MNASAJILI WAGANGA NA WACHAWI HIYO NDIO YANGA YA KISASA.
Sijakuelewa huu Ujumbe wako hapa unaniambia Mimi mwana Yanga SC Mwenzako au wale wa Simba SC Ndugu?
 
Mgagaa na Upwa

Mgagaa na Upwa

JF-Expert Member
Joined
Sep 30, 2013
Messages
3,940
Points
2,000
Mgagaa na Upwa

Mgagaa na Upwa

JF-Expert Member
Joined Sep 30, 2013
3,940 2,000
Yanga hatunaga mashabiki mabwabwa kama huyu fala
 
Swet-R

Swet-R

JF-Expert Member
Joined
Aug 25, 2018
Messages
1,511
Points
2,000
Swet-R

Swet-R

JF-Expert Member
Joined Aug 25, 2018
1,511 2,000
Tunaibiwa kwahiyo wana Yanga SC tunyamaze Ndugu? au Wewe ni Simba SC lia lia kabisa kama Frank Wanjiru?
Wewe mikia unalala unaiota Yanga. Ingekuwa kwenye maswala ya upelelezi ningekuambia hongera kwa ku-win,kutwa kutafuta yanayohusu Yanga. Lakini kwa sbb ni soka,wewe ni fara #1,ksbb hii nguvu yote unayoitumia kuichunguza Yanga ungeitumia vizuri kuichunguza Ud Songo kabla ya ile mechi mngekuwa mmevuka kibabe. Shida ndio hiyo mikia mnaelekeza nguvu kuichunguza Yanga tu
 
Super Sub Steve

Super Sub Steve

JF-Expert Member
Joined
Jul 9, 2011
Messages
13,991
Points
2,000
Super Sub Steve

Super Sub Steve

JF-Expert Member
Joined Jul 9, 2011
13,991 2,000
kawoli

kawoli

JF-Expert Member
Joined
Feb 20, 2014
Messages
4,191
Points
2,000
kawoli

kawoli

JF-Expert Member
Joined Feb 20, 2014
4,191 2,000
Mbona uandishi wako unafanana na yule ‘popoma’ flani hivi mnazi wa simba asiye choka kuinanga nanga timu pendwa ya wananchi au ndiyo wewe umekuja kivingine?
Yani GENTA hayupo smart kabisa ameshindwa kujitofautisha kiuandishi na kimtazamo. Watu tuna ID kumi kumi hunu ila si rahisi kushtukiwa labda mods waamue kukuumbua
 
An Eagle

An Eagle

JF-Expert Member
Joined
Feb 11, 2019
Messages
1,205
Points
2,000
An Eagle

An Eagle

JF-Expert Member
Joined Feb 11, 2019
1,205 2,000
Yani GENTA hayupo smart kabisa ameshindwa kujitofautisha kiuandishi na kimtazamo. Watu tuna ID kumi kumi hunu ila si rahisi kushtukiwa labda mods waamue kukuumbua
Kwanini unateseka Ndugu? Kama unao uhakika wote thibitisha hapa kwa Ushahidi wako kamili na unaobaki uwasilishe kwa hao Mods kama ulivyosema hapa ila ninachojua Mimi ni An Eagle na siyo huyo Bwana Wenu ambaye Kutwa mnamuimba na Kumtajataja hapa utadhani mmembebea Mimba zake. Wapuuzi wakubwa nyie!
 

Forum statistics

Threads 1,336,678
Members 512,696
Posts 32,547,530
Top