Wanayanga wenzangu ‘ tunaibiwa ‘ mbona hawa ‘ Wadhamini ‘ wetu hawaonekani katika Jezi zetu?

An Eagle

An Eagle

JF-Expert Member
Joined
Feb 11, 2019
Messages
1,103
Points
2,000
An Eagle

An Eagle

JF-Expert Member
Joined Feb 11, 2019
1,103 2,000
Natambua kuwa kila mwana Yanga SC hapa Jamvini anatambua kuwa Mimi An Eagle ni Mwanachama mwenye Uchungu kabisa na Klabu yetu hii ( nikiwa na Kadi Namba 031....91287...6 ) hivyo mambo ambayo huwa nayasema hapa huwa nakuwa nawapigania Yanga na Maslahi yao pia.

Ndugu zangu wana Yanga huenda wengi wenu mkawa hamjui au hamjatambua lolote lile ila Mimi kama mwana Yanga lia lia najua kuwa Timu yetu inadhaminiwa na Azam tv pamoja na SpotiPesa pekee lakini nimeshangaa hivi karibuni baada ya tu Uongozi huu mpya Kuingia Madarakani naona Wadhamini wapya ambao hata katika Jezi zetu hawapo kabisa.

Wana Yanga wenzangu naona ‘ tunaibiwa ‘ na Uongozi wetu hivyo tusikubali, tuandamane upesi kwenda pale Klabuni kuwatoa na ikiwezekana hata Mechi yetu na Zesco United Jumamosi tusiende kabisa ili tuwakomesha kwani Uongozi huu mpya unatufanya wana Yanga SC wote tuna Akili za ‘ Kipa Katoka ‘ namaanisha za ‘ Kipumbavu ‘ wakati kumbe si kweli bali na Sisi tuna Akili kuliko hata Wao.

Hawa Wadhamini wafuatao hapa chini wanaifaidisha vipi Yanga SC yetu? Na mbona ujio wao Sisi Wanachama akina An Eagle hatukufahamishwa katika Mikutano ya Klabu?

1. Taifa Gas
2. GSM Foam
3. Afya Water

Kama Uongozi wa Yanga SC hautanijibu Mimi An Eagle basi muda si mrefu nahamia rasmi kwa Watani zetu Simba SC ambao naona kwa sasa angalau Wao wanaendesha Timu yao Kisasa, Kisomi na Kiuweledi kabisa. Na nashauri pia kwa Wanachama wenzangu wote wa Yanga SC kuwa nanyi pia hamieni Simba SC ili ' tuukomoe ' huu Uongozi wetu kwani ' unatuibia ' Sisi wana Yanga.

Nikiwa kama mwana Yanga SC lia lia kabisa nimekasirika sana juu ya hili na nauomba Uongozi wa Yanga SC ' Ujiuzulu ' upesi.
 
Kenjewala

Kenjewala

JF-Expert Member
Joined
Jan 26, 2017
Messages
805
Points
1,000
Kenjewala

Kenjewala

JF-Expert Member
Joined Jan 26, 2017
805 1,000
Afya water tulifahamishwa zaman sana labda kama ulikuwa kijijini na huu sio msimu wa kwanza kuwa na afya water
 
An Eagle

An Eagle

JF-Expert Member
Joined
Feb 11, 2019
Messages
1,103
Points
2,000
An Eagle

An Eagle

JF-Expert Member
Joined Feb 11, 2019
1,103 2,000
Ni kutokujua tu , ungekuwa unajua labda ungekaa kimya.
Tunaibiwa kwahiyo wana Yanga SC tunyamaze Ndugu? au Wewe ni Simba SC lia lia kabisa kama Frank Wanjiru?
 
K

kyata

JF-Expert Member
Joined
Jun 20, 2015
Messages
944
Points
1,000
K

kyata

JF-Expert Member
Joined Jun 20, 2015
944 1,000
Genta
Natambua kuwa kila mwana Yanga SC hapa Jamvini anatambua kuwa Mimi An Eagle ni Mwanachama mwenye Uchungu kabisa na Klabu yetu hii ( nikiwa na Kadi Namba 031....91287...6 ) hivyo mambo ambayo huwa nayasema hapa huwa nakuwa nawapigania Yanga na Maslahi yao pia.

Ndugu zangu wana Yanga huenda wengi wenu mkawa hamjui au hamjatambua lolote lile ila Mimi kama mwana Yanga lia lia najua kuwa Timu yetu inadhaminiwa na Azam tv pamoja na SpotiPesa pekee lakini nimeshangaa hivi karibuni baada ya tu Uongozi huu mpya Kuingia Madarakani naona Wadhamini wapya ambao hata katika Jezi zetu hawapo kabisa.

Wana Yanga wenzangu naona ‘ tunaibiwa ‘ na Uongozi wetu hivyo tusikubali, tuandamane upesi kwenda pale Klabuni kuwatoa na ikiwezekana hata Mechi yetu na Zesco United Jumamosi tusiende kabisa ili tuwakomesha kwani Uongozi huu mpya unatufanya wana Yanga SC wote tuna Akili za ‘ Kipa Katoka ‘ namaanisha za ‘ Kipumbavu ‘ wakati kumbe si kweli bali na Sisi tuna Akili kuliko hata Wao.

Hawa Wadhamini wafuatao hapa chini wanaifaidisha vipi Yanga SC yetu? Na mbona ujio wao Sisi Wanachama akina An Eagle hatukufahamishwa katika Mikutano ya Klabu?

1. Taifa Gas
2. GSM Foam
3. Afya Water

Kama Uongozi wa Yanga SC hautanijibu Mimi An Eagle basi muda si mrefu nahamia rasmi kwa Watani zetu Simba SC ambao naona kwa sasa angalau Wao wanaendesha Timu yao Kisasa, Kisomi na Kiuweledi kabisa. Na nashauri pia kwa Wanachama wenzangu wote wa Yanga SC kuwa nanyi pia hamieni Simba SC ili ' tuukomoe ' huu Uongozi wetu kwani ' unatuibia ' Sisi wana Yanga.

Nikiwa kama mwana Yanga SC lia lia kabisa nimekasirika sana juu ya hili na nauomba Uongozi wa Yanga SC ' Ujiuzulu ' upesi.
Genta katika ubora wako, always pumba tupu.
 
An Eagle

An Eagle

JF-Expert Member
Joined
Feb 11, 2019
Messages
1,103
Points
2,000
An Eagle

An Eagle

JF-Expert Member
Joined Feb 11, 2019
1,103 2,000
Afya water tulifahamishwa zaman sana labda kama ulikuwa kijijini na huu sio msimu wa kwanza kuwa na afya water
Ulifahamishwa peke yako labda ukiwa Chumbani na Mwenyekiti na Makamu wake au? Sisi kama wana Yanga SC hatuna taarifa yoyote ile na acha Kutupandisha Hasira kisha tususe hata Kuja Uwanjani Jumamosi Kuishangilia Timu yetu ikicheza na Zesco United au ukasababisha tukaenda kwa Mganga wetu Mwanza ambaye juzi aliwaogesha Wachezaji wetu wote wa Yanga SC Maji ya Maiti ya Hospitali moja Kubwa pale Mwanza ili abadilishe ' Uchawi ' wake na hatimaye tufungwe na tuumbuke? Unajua ni kwanini Beki wetu Juma Abdul ambaye alikuja Kumzika Mama yake Kesho yaka akalazimishwa apande Bung'o ( Ndege ) haraka ili aende Mwanza Kuungana na Wenzake na wamerejea wote Dar es Salaam jana Usiku? Hebu tuachie tunaoijua Yanga SC yetu tulalamike hapa na Wewe Simba SC tupishe tafadhali sawa?
 
mwangalingimungu

mwangalingimungu

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2013
Messages
1,254
Points
1,500
mwangalingimungu

mwangalingimungu

JF-Expert Member
Joined Jul 29, 2013
1,254 1,500
Natambua kuwa kila mwana Yanga SC hapa Jamvini anatambua kuwa Mimi An Eagle ni Mwanachama mwenye Uchungu kabisa na Klabu yetu hii ( nikiwa na Kadi Namba 031....91287...6 ) hivyo mambo ambayo huwa nayasema hapa huwa nakuwa nawapigania Yanga na Maslahi yao pia.

Ndugu zangu wana Yanga huenda wengi wenu mkawa hamjui au hamjatambua lolote lile ila Mimi kama mwana Yanga lia lia najua kuwa Timu yetu inadhaminiwa na Azam tv pamoja na SpotiPesa pekee lakini nimeshangaa hivi karibuni baada ya tu Uongozi huu mpya Kuingia Madarakani naona Wadhamini wapya ambao hata katika Jezi zetu hawapo kabisa.

Wana Yanga wenzangu naona ‘ tunaibiwa ‘ na Uongozi wetu hivyo tusikubali, tuandamane upesi kwenda pale Klabuni kuwatoa na ikiwezekana hata Mechi yetu na Zesco United Jumamosi tusiende kabisa ili tuwakomesha kwani Uongozi huu mpya unatufanya wana Yanga SC wote tuna Akili za ‘ Kipa Katoka ‘ namaanisha za ‘ Kipumbavu ‘ wakati kumbe si kweli bali na Sisi tuna Akili kuliko hata Wao.

Hawa Wadhamini wafuatao hapa chini wanaifaidisha vipi Yanga SC yetu? Na mbona ujio wao Sisi Wanachama akina An Eagle hatukufahamishwa katika Mikutano ya Klabu?

1. Taifa Gas
2. GSM Foam
3. Afya Water

Kama Uongozi wa Yanga SC hautanijibu Mimi An Eagle basi muda si mrefu nahamia rasmi kwa Watani zetu Simba SC ambao naona kwa sasa angalau Wao wanaendesha Timu yao Kisasa, Kisomi na Kiuweledi kabisa. Na nashauri pia kwa Wanachama wenzangu wote wa Yanga SC kuwa nanyi pia hamieni Simba SC ili ' tuukomoe ' huu Uongozi wetu kwani ' unatuibia ' Sisi wana Yanga.

Nikiwa kama mwana Yanga SC lia lia kabisa nimekasirika sana juu ya hili na nauomba Uongozi wa Yanga SC ' Ujiuzulu ' upesi.
Itakuwa vizuri. Lakini vizuri zaidi ni wewe kutangulia mbele kwenye maandamano yenyewe tena ukiwa hujavaa nguo hata moja kuonyesha ukubwa wa hasira ya kuibiwa uliyonayo.
 
Raoluoroliech

Raoluoroliech

JF-Expert Member
Joined
Apr 15, 2019
Messages
220
Points
250
Raoluoroliech

Raoluoroliech

JF-Expert Member
Joined Apr 15, 2019
220 250
Wewe ni simba damu na utakuwa umetumwa uje utuvuruge na zahera wetu na kwa taarifa yako wambie waliokutuma kuwa huu ni mziki mnene hatushikiki,hatuoni hatusikii wala hatuambiliki. Hii ni timu ya wananchi bwana
 
An Eagle

An Eagle

JF-Expert Member
Joined
Feb 11, 2019
Messages
1,103
Points
2,000
An Eagle

An Eagle

JF-Expert Member
Joined Feb 11, 2019
1,103 2,000
Wewe ni simba damu na utakuwa umetumwa uje utuvuruge na zahera wetu na kwa taarifa yako wambie waliokutuma kuwa huu ni mziki mnene hatushikiki,hatuoni hatusikii wala hatuambiliki. Hii ni timu ya wananchi bwana
Hebu nitake Radhi upesi kwa kuniambia Mimi ni Simba SC Ndugu.
 
Bonny

Bonny

JF-Expert Member
Joined
Feb 21, 2013
Messages
12,448
Points
2,000
Bonny

Bonny

JF-Expert Member
Joined Feb 21, 2013
12,448 2,000
Mim ni Shabiki wa Simba damu, Ila embu nieleweashe wewe Mshabki wa Yanga hapo umeibiwa kitu gani?
 
P

puto

Senior Member
Joined
Mar 12, 2012
Messages
107
Points
225
P

puto

Senior Member
Joined Mar 12, 2012
107 225
Hapo uliposema tusiende uwanjan ndiyo ulipokosea mana inaonesha wew Ni Simba damu bila Shaka
Natambua kuwa kila mwana Yanga SC hapa Jamvini anatambua kuwa Mimi An Eagle ni Mwanachama mwenye Uchungu kabisa na Klabu yetu hii ( nikiwa na Kadi Namba 031....91287...6 ) hivyo mambo ambayo huwa nayasema hapa huwa nakuwa nawapigania Yanga na Maslahi yao pia.

Ndugu zangu wana Yanga huenda wengi wenu mkawa hamjui au hamjatambua lolote lile ila Mimi kama mwana Yanga lia lia najua kuwa Timu yetu inadhaminiwa na Azam tv pamoja na SpotiPesa pekee lakini nimeshangaa hivi karibuni baada ya tu Uongozi huu mpya Kuingia Madarakani naona Wadhamini wapya ambao hata katika Jezi zetu hawapo kabisa.

Wana Yanga wenzangu naona ‘ tunaibiwa ‘ na Uongozi wetu hivyo tusikubali, tuandamane upesi kwenda pale Klabuni kuwatoa na ikiwezekana hata Mechi yetu na Zesco United Jumamosi tusiende kabisa ili tuwakomesha kwani Uongozi huu mpya unatufanya wana Yanga SC wote tuna Akili za ‘ Kipa Katoka ‘ namaanisha za ‘ Kipumbavu ‘ wakati kumbe si kweli bali na Sisi tuna Akili kuliko hata Wao.

Hawa Wadhamini wafuatao hapa chini wanaifaidisha vipi Yanga SC yetu? Na mbona ujio wao Sisi Wanachama akina An Eagle hatukufahamishwa katika Mikutano ya Klabu?

1. Taifa Gas
2. GSM Foam
3. Afya Water

Kama Uongozi wa Yanga SC hautanijibu Mimi An Eagle basi muda si mrefu nahamia rasmi kwa Watani zetu Simba SC ambao naona kwa sasa angalau Wao wanaendesha Timu yao Kisasa, Kisomi na Kiuweledi kabisa. Na nashauri pia kwa Wanachama wenzangu wote wa Yanga SC kuwa nanyi pia hamieni Simba SC ili ' tuukomoe ' huu Uongozi wetu kwani ' unatuibia ' Sisi wana Yanga.

Nikiwa kama mwana Yanga SC lia lia kabisa nimekasirika sana juu ya hili na nauomba Uongozi wa Yanga SC ' Ujiuzulu ' upesi.
 
An Eagle

An Eagle

JF-Expert Member
Joined
Feb 11, 2019
Messages
1,103
Points
2,000
An Eagle

An Eagle

JF-Expert Member
Joined Feb 11, 2019
1,103 2,000
Mim ni Shabiki wa Simba damu, Ila embu nieleweashe wewe Mshabki wa Yanga hapo umeibiwa kitu gani?
Hao Taifa Gas, GSM Foam na Afya Water ujio wao siyo rasmi kwa Sisi wana Yanga SC na hadi leo hii Uongozi haujatuambia lolote / chochote hivyo tumekasirika mno na kibaya zaidi hata katika Jezi zetu za Yanga SC hao Wadhamini hawaonekani popote. Kwa Hasira nilizonazo Mimi mwana Yanga SC ' lia lia ' An Eagle pamoja na Wenzangu wengi tu tunaiombea mabaya Yanga SC ifungwe Jumamosi na kuanzia sasa tunapanga Kufanya Maandamano nchi nzima ili tuung'oe Uongozi wote uliopo Madarakani kwani kwa muda huu tu mfupi wameonyesha kuwa ni ' Wapigaji ' wakubwa na wataiponza Klabu yetu.
 
Abunwasi

Abunwasi

JF-Expert Member
Joined
Jun 25, 2009
Messages
4,748
Points
2,000
Abunwasi

Abunwasi

JF-Expert Member
Joined Jun 25, 2009
4,748 2,000
Natambua kuwa kila mwana Yanga SC hapa Jamvini anatambua kuwa Mimi An Eagle ni Mwanachama mwenye Uchungu kabisa na Klabu yetu hii ( nikiwa na Kadi Namba 031....91287...6 ) hivyo mambo ambayo huwa nayasema hapa huwa nakuwa nawapigania Yanga na Maslahi yao pia.

Ndugu zangu wana Yanga huenda wengi wenu mkawa hamjui au hamjatambua lolote lile ila Mimi kama mwana Yanga lia lia najua kuwa Timu yetu inadhaminiwa na Azam tv pamoja na SpotiPesa pekee lakini nimeshangaa hivi karibuni baada ya tu Uongozi huu mpya Kuingia Madarakani naona Wadhamini wapya ambao hata katika Jezi zetu hawapo kabisa.

Wana Yanga wenzangu naona ‘ tunaibiwa ‘ na Uongozi wetu hivyo tusikubali, tuandamane upesi kwenda pale Klabuni kuwatoa na ikiwezekana hata Mechi yetu na Zesco United Jumamosi tusiende kabisa ili tuwakomesha kwani Uongozi huu mpya unatufanya wana Yanga SC wote tuna Akili za ‘ Kipa Katoka ‘ namaanisha za ‘ Kipumbavu ‘ wakati kumbe si kweli bali na Sisi tuna Akili kuliko hata Wao.

Hawa Wadhamini wafuatao hapa chini wanaifaidisha vipi Yanga SC yetu? Na mbona ujio wao Sisi Wanachama akina An Eagle hatukufahamishwa katika Mikutano ya Klabu?

1. Taifa Gas
2. GSM Foam
3. Afya Water

Kama Uongozi wa Yanga SC hautanijibu Mimi An Eagle basi muda si mrefu nahamia rasmi kwa Watani zetu Simba SC ambao naona kwa sasa angalau Wao wanaendesha Timu yao Kisasa, Kisomi na Kiuweledi kabisa. Na nashauri pia kwa Wanachama wenzangu wote wa Yanga SC kuwa nanyi pia hamieni Simba SC ili ' tuukomoe ' huu Uongozi wetu kwani ' unatuibia ' Sisi wana Yanga.

Nikiwa kama mwana Yanga SC lia lia kabisa nimekasirika sana juu ya hili na nauomba Uongozi wa Yanga SC ' Ujiuzulu ' upesi.
Wewe ni lunyasi uliyejificha Yanga na unaweza kuhama tu usitafute visingizio .
Yanga inautaratibu wake wa uongozi na upatanashaji habari na si mambo yote yanazngumzwa hadharani hata hivyo kuna viongozi wa matawi ambao wanafahamu fika kila kinachoendelea klabuni kwetu.
 
An Eagle

An Eagle

JF-Expert Member
Joined
Feb 11, 2019
Messages
1,103
Points
2,000
An Eagle

An Eagle

JF-Expert Member
Joined Feb 11, 2019
1,103 2,000
Hapo uliposema tusiende uwanjan ndiyo ulipokosea mana inaonesha wew Ni Simba damu bila Shaka
Nitake Radhi haraka kwa Kunihusisha Mimi na Klabu ya Simba SC Ndugu.
 
An Eagle

An Eagle

JF-Expert Member
Joined
Feb 11, 2019
Messages
1,103
Points
2,000
An Eagle

An Eagle

JF-Expert Member
Joined Feb 11, 2019
1,103 2,000
Wewe ni lunyasi uliyejificha Yanga na unaweza kuhama tu usitafute visingizio .
Yanga inautaratibu wake wa uongozi na upatanashaji habari na si mambo yote yanazngumzwa hadharani hata hivyo kuna viongozi wa matawi ambao wanafahamu fika kila kinachoendelea klabuni kwetu.
Tunaibiwa Ndugu au Wewe huoni? Nahisi Wewe utakuwa ni mwana Simba SC ndiyo maana huna Uchungu na Sisi wana Yanga SC tunaoteseka na Uongozi wetu huu mpya ambao ni Mbovu na umejaa ' Wapigaji ' watupu.
 
Abunwasi

Abunwasi

JF-Expert Member
Joined
Jun 25, 2009
Messages
4,748
Points
2,000
Abunwasi

Abunwasi

JF-Expert Member
Joined Jun 25, 2009
4,748 2,000
Tunaibiwa Ndugu au Wewe huoni? Nahisi Wewe utakuwa ni mwana Simba SC ndiyo maana huna Uchungu na Sisi wana Yanga SC tunaoteseka na Uongozi wetu huu mpya ambao ni Mbovu na umejaa ' Wapigaji ' watupu.
Nenda klabu ukaulize na siyo humu jamvini.
 
collycool

collycool

Senior Member
Joined
Nov 24, 2011
Messages
185
Points
250
collycool

collycool

Senior Member
Joined Nov 24, 2011
185 250
Wewe ni shabiki wa Simba lialia tunakujua vizuri, uwanjani tunaenda vizuri nawe twakukaribisha usisahau kuvaa kipensi
 
Forum statistics

Threads 1,335,211
Members 512,271
Posts 32,499,229
Top