Hiki kipindi cha miaka mitatu tumepata taabu sana kwa kila nyanja, si matajiri na wala si sisi mafukara, ninajiuliza na naomba jibu toka kwenu waona mbali pengene wenye jicho la tatu kweli wataweza kuling'oa hili jiwe lilipo baada ya hii awamu yake ili nasi walalahoi tupate haueni!?