wanawake

wanawake

EL ELYON

JF-Expert Member
Joined
Jan 2, 2013
Posts
1,675
Reaction score
2,115
Inashangaza, inasikitisha tamaa mbele, hupenda shortcut ya maisha anataka uwe na gari,nyumba,pesa nyingi wao ndo wanaona hayo maisha ukizingatia kwao hivyo vitu vimekosekana pamoja na kwamba naye pia ana zaidi ya miaka 10 kazini hajanunua hata sanlg, ila wanataka wakuone unavyo ukizingatia hawajui we umevitoa wapi cheki Kajala,alivikuta hajui vilitoka wapi at ze end? Manamake bwana yani yapo tayari hata kama wewe ni mumewe akitokea zombi mwenye hivyo akamtaka yuko tayari kukuua au kufanya lolote, ukiwa navyo hivyo huwa hawajali tabia au ucha Mungu wako. Mwanamke atakupa kila kitu kwenye mwili wake shame on them,maisha na anasa za dunia zinatafutika na zinapita,ukikaribia zeeka ndo unaanza kujikosha kwa yeyote yule akuoe ili mradi uhakika wa daily basic needs uwepo,ulipokuwa kigori unasifiwa manjemba wakakutumia hukuyaona hayo? Kaa na mwenzio utulie muweke mipango mikakati kuweza kupata yote na si kutaka kudandia vya watu vinawaponza sana lazima ujiulize mwanaume mwenye hivyo vitu anakutaka je hivi ni kweli pamoja na kuwa na mali zote hizo hana mwanamke au wanawake au hawamuoni? Out of hapo utakuwa kama condom used.
 
kwiwkwiwkwiwkwiwkwi utakuwa unatoka familia maskini kama mimi
 
Jamaa una hasira nao.
Umenyimwa au umeombwa mihela sasa huna unamalizia machungu kwenye uzi.

wanawake wa siku hizi nao ni kumnyima mtu mpaka tigO wanagawa hao na wanapenda sana kutoa kabaang 86% ndo zao na ndo khabari ya mujini sijui vijijini huko, mbona nnao wanne tena wako mtaa mmoja nikitoka job huwa lazima nikifika jioni naita mmoja napiga,mda wa kulala naita mwingine napiga kama piritoni kisha najilalia zangu,na ni marufuku kulala kwangu au kuja pasipo kuitwa.
 
Mimi huwa nawaambia sina fedha wala dhahabu, ila nina akili na uwezo wa kupata fedha na majumba na magari na punda na farasi kabla sijafikisha miaka 40.
Pia nina kitu kingine cha ziada na kizuri kaidi.
Nina mpini wa nchi tisa, wenye kipenyo cha sentimeta sita, tena una vimatawi matawi, kama vile viduda ambavyo baadhi ya watu huzaliwa navyo kwenye kidole cha mwisho.
Pia nina nguvu za kiumeni zilizopitiliza, na nina upendo wa dhati kama mabakuli mia mbili hivi.
Vyote hivi ni kwa ajili yako mrembo
 
Mkuu sio kila mwanamke yuko katika mtazamo wako, wapo ambao wanaridhika na hali zao na za wenza wao. usipende kufanya kosa la kuhukumu kundi lote au kundi kubwa kwa kosa la mmoja au wachache. achana na misemo ya kizamani kama vile samaki mmoja akioza wete wameoza. Kumbuka kuwa nyumba yenye mafanikio nyuma yake yupo mwanamke.
 
wanawake oyeeeeeeeeee..

nyie hoi tu, kuna uwezekano wengi wenu now days mnavaa nepi ndo maana wengi mnaonekana mmejaza kumbe nepi chezea kutoa kabaaang kwa wenye mitalimbo mizito mizito. Kwi kwi kwiiii.
 
Pole sana kwa yaliokukuta lakini ukae ukijua sio wote wako hivyo ni baadhi tuu. Muombe Mungu akusaidie umpate kutoka kwake ila uhusiano wako na Mungu hakikisha unakuwa mzuri ili sala zako zifanye kazi.
 
Mimi huwa nawaambia sina fedha wala dhahabu, ila nina akili na uwezo wa kupata fedha na majumba na magari na punda na farasi kabla sijafikisha miaka 40.
Pia nina kitu kingine cha ziada na kizuri kaidi.
Nina mpini wa nchi tisa, wenye kipenyo cha sentimeta sita, tena una vimatawi matawi, kama vile viduda ambavyo baadhi ya watu huzaliwa navyo kwenye kidole cha mwisho.
Pia nina nguvu za kiumeni zilizopitiliza, na nina upendo wa dhati kama mabakuli mia mbili hivi.
Vyote hivi ni kwa ajili yako mrembo

haaahaaaa...wacha nicheke mie niondoe baridi...thx Bujibuji.
 
Last edited by a moderator:
na wanaume jee?mbona na wao wanapenda vya dezo.uvivu wa kutafuta na wao wanataka kulelewa.sio uwakomalie wanawake tu.
 
kwiwkwiwkwiwkwiwkwi utakuwa unatoka familia maskini kama mimi

kuna mtu mmoja alisema namquote.

"kuzaliwa masikini si kosa kosa kuoa au kuolewa na nasikini"..

hahaaaaa
 
hivi unafahamu kwamba Mama yako na dada yako ni wanawake?....thats a very general perception,kuna wengine wametulia.....wanastahili heshima yao.
 
kwiwkwiwkwiwkwiwkwi utakuwa unatoka familia maskini kama mimi

ni kweli kwani tz ni nchi masikini sana duniani ya pili toka chini tunazidiwa mpaka na rwanda hivyo basi kuwa masikini kwa mtz ni kawaida ila namshukuru Mungu nna shahada yangu ya Public Adm. Na nna kazi pia, pia nna kwangu na nasomesha mdogo wangu,basic needs haisumbui, pia hata wazazi wangu wana kazi mpaka sasa,PIA HII THREAD NIMEANDIKA KAMA USHAURI TU HAINA UHUSIANO WOWOTE NA MIMI.
 
Sio wanawake wote bro,..wengine ful misimamo. Wanajua life is not about money,not about riches,not about wealth. They know maisha ni adventure,wawili kuridhiana,sio sababu ya kitu,hapana,bali utu.
 
Mimi huwa nawaambia sina fedha wala dhahabu, ila nina akili na uwezo wa kupata fedha na majumba na magari na punda na farasi kabla sijafikisha miaka 40.
Pia nina kitu kingine cha ziada na kizuri kaidi.
Nina mpini wa nchi tisa, wenye kipenyo cha sentimeta sita, tena una vimatawi matawi, kama vile viduda ambavyo baadhi ya watu huzaliwa navyo kwenye kidole cha mwisho.
Pia nina nguvu za kiumeni zilizopitiliza, na nina upendo wa dhati kama mabakuli mia mbili hivi.
Vyote hivi ni kwa ajili yako mrembo

Teh teh teh nadhani wanabaki wameduwaa baada ya yote hayo unapowaambia kuwa kwenye sehemu iliyokuwa bold pamoja na ubora wake lakini haliwiki.
 
wanawake wa siku hizi nao ni kumnyima mtu mpaka tigO wanagawa hao na wanapenda sana kutoa kabaang 86% ndo zao na ndo khabari ya mujini sijui vijijini huko, mbona nnao wanne tena wako mtaa mmoja nikitoka job huwa lazima nikifika jioni naita mmoja napiga,mda wa kulala naita mwingine napiga kama piritoni kisha najilalia zangu,na ni marufuku kulala kwangu au kuja pasipo kuitwa.

well..well well!! hapa naona. its you who is having problems..lol
 
nyie hoi tu, kuna uwezekano wengi wenu now days mnavaa nepi ndo maana wengi mnaonekana mmejaza kumbe nepi chezea kutoa kabaaang kwa wenye mitalimbo mizito mizito. Kwi kwi kwiiii.

hey...come on! kama.kakutenda mmoja usidhani wote wapo hivyo.. na pia ujue kuwa tupo tunaojielewa na kutambua thamani zetu.

pole sana
 
Back
Top Bottom