Hatufikirii sana next event or sequence of events to accomplish a task efficiently. Hasa kitu kikihusu nje ya miili yetu. Tuna ubinafsi wa hali ya juu. We only think ourselves all the time. Kudhibitisha hatuwezi kusahau pedi, kuvaa chupi, kuzuia matiti, kama tunataka au kutoa dudu wakati wa siku mbaya. Tunakumbuka na dates za siku kama hizi huwa tunayeyusha kama tunataka. Kuna ukweli sana.