Mimi siku hizi wala sina ubishi tena, hata wakati tunacheza mechi na kufungana magoli akitaka kuwa juu namruhusu, natuma mishale kutoka chini kwenda angani
mkuu wakizidi kuomba usawa mtashangaa ongezeko linalotisha la marios in town.maana neno majukumu na usawa ni mapana sana.ua haliwezi kusigana na mtunza bustani bhanaa
kesho jamii ikitunga sheria kwamba ni zamu ya mwanamke kutoa posa pindi anapotaka kuolewa wataafiki,kisha alipe mahari na mengi mengineyo kwa mifumo ya wanaume wa kisasa hii vita ikikolea tutashuhudia mengi na ya kijinga.