Wanawake Weusi wana sifa nzuri sana

Ninae black beauty + bonge la churaaaa.
Damn ... !
 
Ukweli ni kwamba hata watu wasemeje lakini wanawake weusi hudumu na kutii kwenye ndoa na ni wanawake wazuri usioweza kuwakinai mapema.wanawake weupe ni majaribu sana kwenye ndoa nyingi na mahusiano ya kawaida.na binafsi nina mifano mingi sana ya kuvunjika kwa ndoa/mahusiano ya wanawake weupe,tena kwa sababu za kijinga kijinga tu.imenitokea mala 6 ktk maisha yangu na nimeona kwa marafiki na majrani zaidi ya mala 10.lakini binafsi nilipojaribu kwa blackbeauty...ninateleza raha mustarehe mpaka leo.
 
Lait ungejua wao wenyewe tu hawapendi rangi yao kwasababu ya tabia zao,,,sasa wewe hizo sifa sijui umeziona vipi...
 
Shida kubwa hapa ambayo mimi naiona ni kuwa hawa wanawake weupe wana tabia ya kujiaminisha kuwa ukiwa mweupe wewe ni mzuri,kwahiyo nyodo ndio zinawagharimu,kwamba hata ukimletea za kuleta anajua ana umati mkubwa wa wanaume ambao wanamfuatilia,ila akishaachwa ndio anaisoma namba...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…