Mwingine husema kachoka kufua kwa mkono, ninunulie "Washer" Sawa unanunua Washer !!
baada ya siku kadhaa anasema kachoka kuosha viombo kwa mkono, ninunulie "Dish washer" unanunua dish washer!!
Lakini sindo maisha jamani ? Life goes on..... unaishiduniani mara moja kwanini umpatishe dhiki ya maisha?
Jamani dish washer lipogo lenye unatumbukiza vyombo linaosha lenyewe? Akyanani navyochukia kuosha vyombo embu nielekeze lapatikana wapi nchi hii na kwa bei gani? Waalaii ntavunja kibubuuuu
Chei chei shangazi shangazi
Enzi hizooUje teeena shangazi......
Pole sana 100lovers !!Jamani dish washer lipogo lenye unatumbukiza vyombo linaosha lenyewe? Akyanani navyochukia kuosha vyombo embu nielekeze lapatikana wapi nchi hii na kwa bei gani? Waalaii ntavunja kibubuuuu
???? Hadithi yako inatufundisha nini
Jamani dish washer lipogo lenye unatumbukiza vyombo linaosha lenyewe? Akyanani navyochukia kuosha vyombo embu nielekeze lapatikana wapi nchi hii na kwa bei gani? Waalaii ntavunja kibubuuuu