Wanawake wenzangu, mwanaume yupi mwenye mvuto kwako humu JF?

Kuna thread moja nilishindwa kuelewa tofauti ya wanawake na wanaume walivyokuwa wanasutana huku wamebinua midomo, na mikono... kazi sana..
 
Wanawake wenzangu tuambiane kweli ya moyoni mwanaume yupi mwenye mvuto kwako wa humu jf?

Unavutiwa na nini kwake, tuwe wakweli na wa wazi.

Binfsi navutiwa sana na mapanga3, kinachonivutia ni namna anavyopost nilifanya juhudi binafsi mpaka nikabahati kumuona kiukweli ni mtu anayejielewa na mwenye msimamo sana nilijaribu kumchomekea mambo fulani kabla sijaolewa lkn akanijibu kwa upole im sorry nafasi imejaaa. Nawewe mwenzangu emu funguka.
Haya sasa mwanaume Mwenye akili atakua ashaelewa hapa!!
 
Jaman nyie wadada wa jf nasubiri na mi mnitaje

Sent from my Iphone 7 using JamiiForums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom