Kuamua kuchukua maamuzi ya kubadilisha wapenzi kila mara ili kushindana ex wako ni kujidharirisha tu. Mi naamini mwanamke ni kiumbe chenye staha kuliko mwanaume. Tafuta pesa kama habari ya mume mlilie Mungu atakupa atakuepusha na wanaume ambao si waaminifu.