Ulaji wa wabongo ni mbovu Sana. Unakuta asubuhi mtu anapiga chapati 3 na mtori au supu, mchana sahani ya ubwabwq ,nyama choma na soda au juice au maziwq mtindi, usiku tena saa tatu au saa nne ugali au ubwabwa sahani inahemea juu juu. Yaani hapo lazima mafuta yalundikane tumboni.