Hapana mkuu..Punguzeni matumiz mabaya ya kula kula hovyo na mipombe wanawake.. take controll of your bodies ladies.
Mkivaa jinsi unaona kabisaa kitabi kimeshuka kama umekibebelea

Sio wanawake wote wanaweza kubana matumbo baada ya kujifungua especially wanaojifungua kwa op. So kitambi kipo na kigumu kutoka ndio maana wengine wanaenda kufanya surgery ya kukitoa.