Mahondaw
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 74,221
- 183,073
Tuvumilie tu mana ukivifuatisha vya humu unaweza ukajiona hujakamilika. [emoji2] [emoji2] [emoji2]
Hahahaahhahahaahahahahaha ni shida aisee
Tuvumilie tu mana ukivifuatisha vya humu unaweza ukajiona hujakamilika. [emoji2] [emoji2] [emoji2]
Sio vngi sana mkuu [emoji23] Ila navipenda sana inafanya ngozi iwe na muonekano mzuri (soft and healthy skin)na hasa vya kwenye vidole vyangu navipenda sana na navitunza sipend kuungua nikipka.Mbona watoa Asante au nawe una vinyweleo hahaha
Manzese kwa mfuga mbwa.Uko dar sehem gani mkuu
ndio..ila sivipendiunavinyweleo eeeh
[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38]Kweli wanakuwaga na joto jingi na khali Fulani ya mtekenyo hadi raha sema ngozi yao ngumu Sana
mwilini..nataka wax nivibandue sivipendi[emoji19]Vinyoleo vya wap
naaam uko wapi nina zawadi yakondio..ila sivipendi
kwa bashite mkuunaaam uko wapi nina zawadi yako
Haya hongera kwakuwa wavipeda vinyueleo vyako japo ni nkwenye vidole tuuSio vngi sana mkuu [emoji23] Ila navipenda sana inafanya ngozi iwe na muonekano mzuri (soft and healthy skin)na hasa vya kwenye vidole vyangu navipenda sana na navitunza sipend kuungua nikipka.
Umeshasoma mkuu...Tabia za hovyo kabisa hizi.Badala ya kuwaza mambo ya maana unawaza ngono.
wewe sio mtamuu?Nilikuwa ninasikitika sana vinapoungua wakati ninapikia kuni.
Leo ujamtag maondaPole sana...